Chacha Wangwe alifariki tarehe kama hii

Chacha Wangwe alifariki tarehe kama hii

Endapo Lowasa atashika wadhifa wa uraisi basi hawa wafuatao watafute kwa kuishi:

Vasco da gama wa msoga na mwanaye.
Paul makonda na kiherehere chacke.
Dr Harison Mwakyembe.
Nape nnauye,
Abdluhamna kinana na twiga

Mwakyembe Kyela wanamkataa wamemchoka kama pampers iliyotumika
 
Tarehe 28 July.
Chacha Wangwe, mwanamageuzi thabiti alipoteza maisha katika mazingira ya kutatanisha.
Alikufa baada ya kuhitilafiana na viongozi wa CHADEMA.
Leo tena, tarehe kama hiyo Lowassa anajiunga CHADEMA. Kila la heri Eddo ila ujue ulikoenda Pengine usirudi.....

Tuelezee na ya Kolimba kidogo
 
Ukiambiwa utoe ushahidi utatoa? Maana umesema kauawa ukiambiwa usaidie polisi je utakubali ? Vitu vingine msikutupuke
Acha ubishi ndugu. Gaidi ndiye aliyemuua Chacha Wangwe. Hata Aquiline aliuawa kwa mipango ya Gaidi ili kuamisha umma kuwa serikali inauwa watu. Usisahau hata bomu la Arusha [SOWETO] pia ilikuwa ni mipango wa Gaidi kuichafua government.
 
Back
Top Bottom