Kwani hapo nyumbani kwao ulipolala, umeenda kuulizia?Mwaka 1985 nikiwa mahabusu pale Bunda, ulinisaida wewe na familia yako mara baada ya kujidhamini mimi mwenyewe mahakamani (Hakimu alikuwa anaitwa Monica). Ulinichukua hadi nyumbani kwenu. Nililala usiku mmoja. Ulinitafutia nauli ya kusafiri hadi nyumbani Tarime. Wakati huo nauli ilikuwa shilingi 100. Kwa sababu ya changamoto za mawasiliano kwa wakati ule, tulipoteana.
Kama upo humu au kuna mtu anakufahamu habari zako, naomba kujulishwa:
Namba yangu ya simu ni: 0756 463 578.
Shukrani!
Akaulizie tuu,atawakuta hata kama wamekufa kuna ndugu zake!Kwani hapo nyumbani kwao ulipolala, umeenda kuulizia?
Kwani hapo nyumbani kwao ulipolala, umeenda kuulizia?
Shukrani sana kwa ushauri na muda wako.Sasa kama alikuchukua hadi nyumbani kwao kwanini usiende mpaka huko kwao Mkuu? Japo mambo yatakuwa yamebadilika ila kama unalikumbuka eneo utafanikiwa kumpata au kupata taarifa zake kupitia serikali za mitaa na majirani.
Ni jambo jema kulipa wema, japo nawe umechelewa sana miaka 40 hiyo sasa!
Jaribu kupeleka matangazo redioni hizi kubwa au kama kuna redio za huko Mara.
Labda asubiri tena miaka mengine arubaini itimie Arsenal itakapochukua tena ubingwa EPL 2044.Sasa kama alikuchukua hadi nyumbani kwao kwanini usiende mpaka huko kwao Mkuu? Japo mambo yatakuwa yamebadilika ila kama unalikumbuka eneo utafanikiwa kumpata au kupata taarifa zake kupitia serikali za mitaa na majirani.
Ni jambo jema kulipa wema, japo nawe umechelewa sana miaka 40 hiyo sasa!
Jaribu kupeleka matangazo redioni hizi kubwa au kama kuna redio za huko Mara.
Nipe namba yako ya simu!Nipo hapa unasemaje?
Shukrani kwa maoni yako chanya badala ya wale wanaonitukana...Mwaka 85 ulipewa Tsh 100 huyo jamaa mtafute kwa gharama yeyote aisee miaka hiyo mzee wangu alinunua piki piki 110 mia kadhaa tu..