Cha zamani huvutia... tuliko toka thread!

Cha zamani huvutia... tuliko toka thread!

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
21,047
Reaction score
46,909
IMG_20180803_221509_665.JPG

hii ni mada maalumu kwa ajili ya kukumbuka mambo/vitu vya zamani vilivyo tuvutia kupitia picha

mnakaribishwa
 
Hakika cha zaman huvutia sana...
Kipindi hicho mitongozo kibao, ukiona hako karangi kekundu ilikuwa poa sana..
Hasa kama uko kwenye mchakato wa kuomba namba....
Khantwe wapi mama nmewakumbuka sana,
Christine ibrahimu,
Wapi Watu8, wapi@cyberteq, The secretary
 
Back
Top Bottom