Cha wapi hiki?

Ugonjwa wa "Nairobi red eyes and dermatitis" unamhusu huyu, sio bure...
 
Picha yaonyesha uoto wa nchi ni wa sehemu zenye mvua nyingi, migomba, kuna rami ina maana kando ya barabara kuu funlani. Nahisi ni kati ya hii mikoa Kagera, kigoma, Kirimanjaro, Arusha, Mbeya na Rukwa. Je nimepatia??? Huyo ndugu nadhani alikuwa amekula mhogo na yawezekana anatumia mafuta ya mawese kwa wingi. Mawazo yangu.
 
Ninyi nyooooooote mmekosa, hiki ni cha Jamaica maana ile nchi kwa marijuana ndo penyewe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…