Cha ukweh...!!!

Vipi Mkuu ni mpenzi wa mwanya nini lol!? anafanana na wanyarwanda reception imetulia.

Kaka ugonjwa chronic wa watu huo wee subiri tu utaona! Mimi wala labda itokee tu...!!!
 
Reactions: BAK
Kuliwahi kuwa na uzi hapa miaka ya nyuma kuhusu warembo waliojaliwa mwanya, kama nakumbuka vizuri baadhi walidai utamu wao 🙂🙂 si wa kawaida. Aliyeuleta uzi huo ni Mkuu Mbu

Kaka ugonjwa chronic wa watu huo wee subiri tu utaona! Mimi wala labda itokee tu...!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu atakuwa mrefu na neema za Allah kanyimwa........Itokee tu.
 
Reactions: BAK
Kwa anaejua matumizi ya mwanya lazima udate kwa demu wa aina hiyo.
 
rangi yake mimi hoi huo mwanya wake nimechoka na hiyo sura nipo icu hapa kwa msaada wa mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…