Mauaji ya Arusha ni indication tosha kuwa another history has already been made in Arusha; kwamba by using whatever means we will show that we oppose all forms of oppression, injustice, bad leadership, corruption and embezzlement of our resources by few people...through NATIONAL LAMENT; tusitoke, tuvae BLACK wherever we are; kama kuna msanii anaweza kutnga wimbo wa kuomboleza that will be good; tukae kwenye forum hii na kuandika yote tunayoona hayafai na yanahitaji UNCOMPROMISING CHANGE na mambo kadha wa kadha, each one of us can make a difference, tusiangalie fulani afanye, it has to be me and you....ujumbe lazima utafika, na tena wengine tumeshaanza kuwaambia wale ambao hawaingie kwenye forum hii...what to do na tuendelee kuwahamasisha wengi...PEOPLES POWER ALWAYS