.....Cha Asubuhi....

.....Cha Asubuhi....

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
46,938
Reaction score
100,038
huwa nafuatilia sana kipindi Cha Asubuhi..za dondoo za habari magazetini

angalia hii:

Kurasa za Mbele:KITAIFA

.
Magufuli awarushia kombora wabunge wa dar

. Dr Slaa ailipua serikali

. hamad amrushia mabomu Seif

Kurasa za Ndani:KIMATAIFA

. Marekani kuivaa Iran

. Israel kuitwanga Palestina

Kurasa za Nyuma:MICHEZO

. Kanumba afanywa Vibaya na Ray

. Ngassa ampiga bao Kaseja

samahanii jamani huwa navutiwa na vichwa vya habari vya magazeti...ongeza vingine ulivyovutiwa navyo.....

JF Chit -Chat.....
 
Aksante sana mkuu!
Hii ni Creativeness ya aina yake hapa JF!
kAMA VIPI hii thread iendelee kuwepo na uwe unaiwekea yanayojiri magazetini on Daily basis!
 
Aksante sana mkuu!
Hii ni Creativeness ya aina yake hapa JF!
kAMA VIPI hii thread iendelee kuwepo na uwe unaiwekea yanayojiri magazetini on Daily basis!​

Ahsante mkuu...usijari..tuwe tunachangia tuu.
 
huwa nafuatilia sana kipindi Cha Asubuhi..za dondoo za habari magazetini

angalia hii:

Kurasa za Mbele:KITAIFA

.
Magufuli awarushia kombora wabunge wa dar

. Dr Slaa ailipua serikali

. hamad amrushia mabomu Seif

Kurasa za Ndani:KIMATAIFA

. Marekani kuivaa Iran

. Israel kuitwanga Palestina

Kurasa za Nyuma:MICHEZO

. Kanumba afanywa Vibaya na Ray

. Ngassa ampiga bao Kaseja

samahanii jamani huwa navutiwa na vichwa vya habari vya magazeti...ongeza vingine ulivyovutiwa navyo.....

JF Chit -Chat.....

Badilisha title basi mi nilijua ngono goli la asubuhi ni tamu sana
 
Back
Top Bottom