.....Cha Asubuhi....

ulivyosema cha asubuhi mmhh
nikawaza loohh leo kuna mtu kaamua kufunguka
atueleeze experience yake ya quiiiiicky .. au alivyoamka
mapema moja kwa moja uwanjani na kuanza kufunga magoli..​


Umeona eeeh..."Afro d" anataka kumwaga ..........
 
Cha asubuhi ndo noma tena saa kumi na moja,kumi na mbili hivi.kheri uninyime usiku cha asubuhi haki yangu
 
Ungeandika Leo Magazetini au Yaliyoandikwa Magazetini.Naona ulitaka kuchota hisia zetu.Jambo zuri hilo ila uwe katikati.Usituletee habari za upande mmoja au za kule tu unakoegemea.Big Up sana
 
Back
Top Bottom