kwa nchi ilivyooza kipindi kimoja hatafanikisha mengi tu. Mrithi wake ndani ya chadema asiyeyumba kama yeye ni nani?
zitto
Mimi nilsema hapa watu wakataka nitoa roho yangu ya ngama
Hicho kijarida nimeshindwa kukisoma kwani Dr kasema hata gombea tena endapo hata chaguliwa au hata akiwa rais hagombei tena?Watu wengine mnapenda kubisha tu!! tumpe tuone kama 2015 atabadilika.... Mie naamini kama tunahisi ni mwongo tumpe mwaka huu kura zote kisha kama 2015 akitaka kugombea tena tumuulize kuhusu hii ahadi yake!!!
Hapana. Misimamo ya Zitto haitabiriki.
Hicho kijarida nimeshindwa kukisoma kwani Dr kasema hata gombea tena endapo hata chaguliwa au hata akiwa rais hagombei tena?
Hahaha nimeipenda hii analysis
Yaani iwe amechaguliwa kuwa rais au hajachaguliwa kuwa rais hatogombea tena that is it period.
Nyie Urais ni mgumu nyie kwa wale wazalendo kweli wanao itakia nchii hii maendeleo na hawana tamaaa kwao kipindi kimoja its enough kwa hiyo sishangai na nina m support kwa hilo
Kwa kuwasaidia tuuu check hizo details hapo chini
MAKE YOUR OWN MIND...AGE VS MINDSET AND VISION
WHY AFRICA IS 25 YEARS BEHIND THE DEVELOPED WORLD.....
AFRICAN LEADERS
Abdulai Wade (Senegal) age 83
Hosni Mubarak ( Egypt ) age 82
Robert Mugabe ( Zimbabwe ) age 86
Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) age 74
Rupiah Banda ( Zambia ) age 73
Mwai Kibaki ( Kenya ) age 71
Ellen Johnson Sirleaf ( Liberia ) age 75
Colonel Gaddafi (Libya) age 68
Jacob Zuma (South Africa) age 68
José Eduardo dos Santos age 68
Bingu Wa Mutharika (Malawi) age 76
____________ __________________
Average Age: 75.6 ~ Approximately 76 years
____________ __________________
THE FIRST WORLD LEADERS
Barrack Obama (USA) age 48
David Cameron (UK) age 43
Dimitri Medvedev (Russia) age 45
Stephen Harper (Canada) age 51
Julia Gillard (Australia) age 49
Nicolas Sarkozy (France) age 55
Luis Zapatero (Spain) age 49
Jose Socrates (Portugal) age 53
Angela Merkel ( Germany ) age 56
Herman Van Rompuy ( Belgium ) age 62
____________ __________________
Average Age: 51.1 ~ Approximately 51 years
____________ __________________
DIFFERENCE: 25 years
ahadi zake nyingi haziwezi tekelezeka katika miaka mitano
mfano barabara na reli huhitaji mambo mengi mpaka imalizike. kuna upembuzi yakinifu, kutafuta contractors na consultants kwa tendering na hata ujenzi wenyewe.
Rutaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa awali ya yote pole kwa majukumu. Usihadaike na ahadi za wanasiasa kijana especial yule asiejua tamu ya uongozi akiona atasutwa atakuja na eeeh wazee wameniomba niendeleee watu makofi pwapwapwapwa! hao ndio wana si hasa
2010 hakuwa na nia wala wazo lakini aliombwa akakubali! Hana wazo for 2015 but ataombwa ata.....!!!
ahadi zake nyingi haziwezi tekelezeka katika miaka mitano
mfano barabara na reli huhitaji mambo mengi mpaka imalizike. kuna upembuzi yakinifu, kutafuta contractors na consultants kwa tendering na hata ujenzi wenyewe.