Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,280
- 44,418
kama kawaida kila january ya mwaka mpya kunakuwa na maonyesho ya CES ambapo kampuni mbali mbali huonyesha technology zao mpya. badala ya kufungua thread nyingi nitazijumuisha zote hapa. na sitaeka bidhaa zote bali zile ambazo naona ni za kipekee na zina faida kubwa.
lenovo na thinkpad stack
hiki ni kifaa kimetengenezwa na lenovo kwa ajili ya wafanya biashara na kinajumuisha vitu vinne
-speaker ya bluetooth
-3g/4g/ethernet wifi hotspot
-1tb external hard disk
-powerbak 10,000 mah
ukiwa na kifaa hiki utaweza kusikiliza mziki, kutengeneza wifi toka kwenye line au ethernet, kuchaji vitu vyako na power bank pamoja na kuhifadhi mafile kwenye hard disk.
bei yake jumla ni dola 340 ambayo ni kama 550,000 za kitanzania. pia unaweza kuvinunua tofauti tofauti.
kesho kutakuwa na event ya lg na itafuatiwa na samsung.