OHB11
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 602
- 1,464
Wassalam
Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada hisika
Nilikua nauliza washkaj wowote wanaochukua certificate of computer science and information technology at IFM wanipe utaratibu wa pale chuoni
Kwasababu kwa sasa nipo nje ya mkoa na nimepata taarifa masomo yameanza so sitaki kupata tabu pia nilikua nauliza je masomo ya hiyo course yameanza na vipi taratibu wa ratiba za masomo
Nawasilisha