Certificate na Diploma ya Afya

Certificate na Diploma ya Afya

wakuu mimi matokeo ni kama ifuwtavyo
biology c
chemistry c physics d
maths d
kozi gani ya diploma naweza chukuliwa?
msaada wenu please..
 
Wakuu me nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata
Biology C
Chemistry D
Physics D
Kw naweza kutuma maombi ya kusomea clinical officer na nitaombaje nafasi naomba mnisaidie
Kwa mujibu wa maelezo ya mwaka jana,ili mtu uweze kujiunga diploma ya clinical medicine,lazima uwe na ufaulu ufuatao
BIOLOGY- C
CHEMISTRY - C
PHYSICS - D
Sijajua kwa mwaka huu,kuhusu pa kuapply ni kupitia NACTE. Sijajua wataanza kuapply lini lakini nafikiri ni mwezi wa tano. Uwe na tabia ya kuitembelea tovuti ya NACTE mara kwa mara kwa taarifa zaidi.
 
wakuu mimi matokeo ni kama ifuwtavyo
biology c
chemistry c physics d
maths d
kozi gani ya diploma naweza chukuliwa?
msaada wenu please..
kozi nyingi sana dogo,lakini nakushauri ukasome diploma in clinical medicine. Inalipa sana na ajira ni uhakika
 
Ahsante kwa swali zuri.
Nakushauri usome diploma kuliko certificate.
Pili, waweza omba wizarani au sehemu hizi zifuatazo;
1. Muhimbili university
2. Bugando university
3. Lugalo school of nursing.
KUMBUKA UKISOMA SEHEMU NYINGINEZO ZA PRIVATE HUTAAJIRIWA NA SERIKALI PIGA UA. SEHEMU HIZO NILIZOORODHESHA HAPO JUU NDIZO ZINAZOTAMBULIWA NA SERIKALI. KAMA UNATAKA MAELEZO ZAIDI NI-PM


How about kibaha Tumbi mkuu..

It is there as well right?
 
Msaada wenu nilipata ivi pia
Chemistry c
Biology c
Math f
Civic d
English d
Kiswahili d
Geogr d
History d je naeza somo chochote cha afya?
 
Physics F,Maths F ..Kupata admission kozi za afya ni mziki sana hata kama masomo mengine uko vizuri namna gani .
 
Nimeipitia guide book kwa nilivyoielewa inamaanisha cheti cha ualimu kimefutwa(certificate in education) au mwenye maelezo zaidi naomba anisaidie.
 
Nani kawaambia ukiwa na matokeo mabaya utaweza kusomea masomo ya afya? Kesho msianze kulalamika kwamba nurse alikua hajui lolote.
 
Back
Top Bottom