Certificate in Community health Vs Advanced level HKL

Certificate in Community health Vs Advanced level HKL

Jemedary

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Posts
212
Reaction score
72
Habar zenu wakongwe wana wa JF
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2015 na kupata matokeo haya
Civics D
History D
Kiswahili C
English C
Geography D
Biology C
Basic Mathematics F

Ajabahatika kuchaguliwa shule ya serikali ..ila tuliomba certificate ya Community health na hatimae amepata Chuo cha Clinical Officers Bumbuli iyo basic certificate in community health, Ivyo tunaomba ushauri kat ya kusoma iyo course au kumpeleka Advanced level akasom Hkl lipi ni bora au lipi linatija kwa future ya kijana kwa baadae?

Natarajia mchango wenu wa mawazo
Nawasilisha........
 
Akachukue Cheti tu , atajiongeza baadae Kwani kama O-level hivyo A-level mmmmh!
 
Hivi akisoma Basic certificate akafaulu vzr anaweza kusoma Technician certificate na baadae diploma na degree??
 
Back
Top Bottom