andythelast
Member
- Mar 22, 2014
- 65
- 25
Tafadhali naomba nisaidie kujua vilipo vituo vya vifaa tiba vya ceragem ukiacha kile cha mnazi mmoja ili nikapate tiba,asante.
Tegeta Kibaoni, ndani ya eneo la kituo cha mafuta cha Petro, ukifika utaona bango kubwa tu ghorofani