Sawa AD nimekupata.
Lakini najiuliza kitu kimaoja. Kuna wabongo wengi sana ambao walisomea nje ya nchi na kuishi na kufanya kazi huko esp US/UK na eventually miaka ya karibuni wengi tu walirudi bongo huku wakiwa very fluent in English, highly skilled and talented in array of professions like finance, banking, IT, accounting, consulting etc Na hili ni kundi la wabongo ambao ni wachapa kazi na hawana uswahili ni kazi mtindo mmoja. Sasa hili kundi unataka kuniambia halija-break through the system kuwareplace hawa wageni?
huitaki kuomba radhi hilo linafahamika
wakenya wako more aggressive kwenye kazi na most important
wanam treat boss au mteja kama inavyopaswa
hii inatokana na kuwa private sector na ushindani kwao vilianza siku nyingi...
na umasikini kwao uko juu sana,mtu akifukuzwa kazi ni soo
sisi mtu akifukuzwa kazi anaweza kwenda kulima
kenya utalima wapi???????
<br />Mwaka jana au juzi wakati bank yake inaanzisha bidhaa ya Islamic Finance alitoa kauli moja chafu sana kuhusu idadi ya Waislam hapa Tz. Tuliokuwepo pale tukajua yuko addicted na vita vya huko kwao Somalia hivyo tukamchukulia punguani flan tu.
Sikatai mkuu Boss, lakini ukumbuke hawa wabongo ninaowaongelea sio wanasiasa ni watu ambao wako ktk private sector. Most of them wamespend almost half their lives abroad na hawana mentality za wanasiasa ambao wanawaza ulaji tu. I'm so curious to know walipoamua kurudi bongo wameishia wapi?mkuu huwezi amini
wabongo uaminifu tuko nyuma saana
kenya kwa kuwa ubepari umeanza zamani,vitu kama commissions,hisa na profit percentage
viko saana,so mtu hana sababu ya kuiba,the more you work,the bigger the comissions..or profit percentage n,k
sisi watu walisoma but system ya kijamaa ilikuwa in place
njia ya kuongeza kipato ikawa thru wizi....
kusoma nje kwani dili,mtazame andrew chenge,harvad ile but iko wapi?
In most cases kitu kibubwa nime observe ni kua (naomba mtanisamehe saaana kwa hili wajameni) Wakenya most of them wana nidhamu saana kazini kuliko Watanzania... inawezekana saana tokana na utamaduni wao wa maisha kuendesha relying completely tokana na kazi ya kuajiriwa... Wako sharp, wako very fluent katika lugha ya kuendeshea mahala pa kazi (vitu kama Barua, Mikataba, Memos, na the like - wako focused) hicho kinawafanya waonekane kama wanafaa saana kazini kuliko Watanzania... On topo of that wana roho mbaya, hamna kuoneana huruma au mambo ya kufanyia favour ovyo ovyo... Mkenya sio a reliable person kama rafiki (thou kuna exceptions....)
And of course unaelewa nature yetu Watanzania Zela... Most anafanya kazi weekend shamba... part time miradi na mambo kibao... Mie naamini saana hiio inachangia hata why Watanzania wengi hatuna nidhamu kazini... The way Watanzania weengi tuwapo kazini tunavo handle kazi zetu.. Dah! nisije vuka mpaka...
Sawa AD nimekupata.
Lakini najiuliza kitu kimaoja. Kuna wabongo wengi sana ambao walisomea nje ya nchi na kuishi na kufanya kazi huko esp US/UK na eventually miaka ya karibuni wengi tu walirudi bongo huku wakiwa very fluent in English, highly skilled and talented in array of professions like finance, banking, IT, accounting, consulting etc Na hili ni kundi la wabongo ambao ni wachapa kazi na hawana uswahili ni kazi mtindo mmoja. Sasa hili kundi unataka kuniambia halija-break through the system kuwareplace hawa wageni?
Sikatai mkuu Boss, lakini ukumbuke hawa wabongo ninaowaongelea sio wanasiasa ni watu ambao wako ktk private sector. Most of them wamespend almost half their lives abroad na hawana mentality za wanasiasa ambao wanawaza ulaji tu. I'm so curious to know walipoamua kurudi bongo wameishia wapi?
Au ndio wabongo wengi ni too much maimunas..............................halafu kila kukicha tunaendelea kukifagilia kiswahili wakati wenzetu wanalifurahia hilo manake wanatake advantage kwenye umaimuna wetu?
Sawa.Siku zinavozidi kuenda haya mambo yanachange thou at a small pace... Wapo Watanzania wameprove kua they are Good at Work... na kazi wanayofanya kueleweka... acha tu hao walosome nje, kuna wengine wamesoma hapa hapa.... Great schools and wako fluent kabisa... Kitu kingine nacho ni intelligence, unajua ukiwa katika unfavourable conditions inafanya akili iwe sharpened na hizo circumstances.... Watu wengi hawajui kua intelliegence ya mtu haijengwi tu kwa kushikilia ama kufuatilia eneo lake la uzoefu au sector.... A person has to go beyond that-- vitu kama Current issues pia husaidia saana kazini (knowledge is power and in most cases you can apply what you know in ways you never thought possible).. Watanzania hatuna hio kitu - nayo ndio inakuja/kua sasa at a small pace pia....
Nadhani mnaconclude mambo kwa very few facts, ungekuwa umewahi kuishi kenya ndo ungejua ukilitimba na usumbufu wa maofisi yako. Tunajudge kwa kuangalia walioko TZ, nenda kwao uone.
Pia kumbuka kuna waTZ maofisini wanachapa kazi kuliko kawaida, na idadi hiyo ni kubwa tu. Wako wazembe wengi pia lakini huwezi kufanya conclusion zako kirahisi hivo.
Comments kama hizi zimekuwa kawaida na watu wameziamini. Zitawafanya mwendelee kuwa watumwa wa fikra na kujiona wanyonge.
Acheni kudhalilishana kirahisi hivo
Sawa.
Swali: Ughaibuni mbona makazini (I'm talking about corporate America), mbona wakenya ni weupee tuuu na ni wa kawaida sana kulinganisha na wabongo? What's the big deal nyumbani?
Haya mkuu.kiingeraza sio ishu mkuu
ishu ni general knowledge tuko nyuma
Haya mkuu.
Ukumbuke kama mtu ni maimuna atafanya nini ili apate kazi wakati job interviews sehemu nyingi inakuwa conducted in English?
mi nawapenda tu wakenya mikopo wapo fasta sana bila hata kujuana, hayo ya anatoka wap sijui wala sijawahi muona
hata kama ni english kuna maswali mengine ni yes or no
kama una upeo..
hapo ndo ishu?
hivi unakumbuka celltell university challenge?
ulionaje?
Give us a brief description about yourself
Describe the time when you were faced with the most difficult task or assignment, and how were you able to overcome and solve it?
How do you deal with stress?
How do you deal with challenges?
What's been the most important achievement in your life so far?
Could you describe your strengths and weaknesses as well?
Why should we hire you?
Do you have any questions for us?
Mkuu Boss hayo ndio mojawapo ya common maswaliz ya job interviews nyingi na hakuna yes wala no. Hebu nambie kama wewe ni maimuna kazi utaipata hapo?
mkuu nafahamu
but hata english ya hapo bado ni ndogo mno hupaswi kushindwa
kwa kuanzia form four tu...
hivi form four atashindwa kujibu why should we hire you?
mfano swali la mwisho...unaweza kuwarudishia swali moja wenyewe
wanakuuliza do you have any questions for us?
unawajibu yes...give me a brief description about you guys or a brief history of the company....lol
uisahau bodylanguage ya wasiwasi ndo inawaponza wengi..
Boss Unamsemea Form four wa hizi shule za JK?? Kuna watu wamemaliza Chuo but they can not answer that convincingly straight....