rizikicr nafikiria zaid kwamba kinachokwamisha viwanda vyetu ni technology transfer, na pia kinachorudisha nyuma wasomi wetu ni masoko ya kuuza bidhaa zao, to me naona ni wakat sasa wa nchi yetu kuwa na wasomi ambao tafiti zao za kisayansi zitakuwa ni industrial applied research and name them from each field.It is a very good idea.
If we had big manufacturing industries.???
Wanakuja tulia kidogo, mzima wewe/? Naona paper presentation imepamba moto! Was it all about the above subject au ni maoni yako tu??
Wana jamvi,
I was thinking that we real need to have center for new technologies or emerging technologies here in Tanzania. Nimejaribu kuangalia kwa nchi kama Kenya, Cameroon, Nigeria Ghana na nyinginezo za Afrika wanazo hizi center tena ambazo zinadevelop kwenye applied researches kuliko hapa kwetu ambako tafiti zetu nyingi ni promotional kind of research.
Aina ya centre, kwa mtazamo wangu nafikiri iwe ni center ambayo wanafunzi wa sayansi hasa wa levels za masters na PHD watakuwa sponsored kufanyia tafiti zao na kuwe na vifaa vizuri na vya kisasa na mwisho wa siku kila kazi ya kisayansi ituletee product sokoni kwa manufaa ya mwanafunzi mwenyewe na taifa lenyewe.
Mfano: Mwanafunzi wa physics anapoweza kutengeneza polymers kwa kutumia x-ray diffractions na polymer hii yaweza kutumika kwa matibabu so mwanafunzi ataweza kuipatent na kupata hela huku akisaidia taifa kwa usomi wake.
Naombeni mchango wenu, juu ya hili na pia kama mnaafiki basi tujadili tuanzie wapi manake watu wa ku-collaborate nao wapo na wanatamani ila kwa hapa kwetu sijui nianzie wapi.
Jiwe we can change this, unajua tunaanzia wapi tunaforce ajira wanazotaka kautengeneza basi zitengenezwe hata kwa wanasayansi wetu. sio lazima watu waajiriwe hasa wanasayansi kwani wana wigo mpana sana wa kujitengenezea ajira wenyewe. nimekuwa nikifikiri hivi mtu anaye desing modo ya cost estimation in buildings, mwisho wa siku anaipeleka wapi??? lkn je kila siku hatuon majenzi makubwa yakiporomoshwa huko kkoo na posta?? kwann wakandarasi wakanunue hizi modo huko nje???Wazo zuri sana hilo ila kwa nchi yetu hii ya kichwa cha mwenda wazimu zinahitajika nguvu za ziada ili tuweze kuanzisha kitu kama hicho, tunahitaji watu waelewa na watakaotambua umuhimu wake. kama sasa hivi wanavyokurupuka kuanzisha reseve ya mafuta kwaajili ya serikali. ntarudu kuendelea
rizikicr nafikiria zaid kwamba kinachokwamisha viwanda vyetu ni technology transfer, na pia kinachorudisha nyuma wasomi wetu ni masoko ya kuuza bidhaa zao, to me naona ni wakat sasa wa nchi yetu kuwa na wasomi ambao tafiti zao za kisayansi zitakuwa ni industrial applied research and name them from each field.
nimejiuliza sana hivi mwaka huu mzima vyuo kama udsm, sokoine wameweza kau patent nn?? lkn je kwa mwaka huu viwanda vyetu vimenunua technolojia kwa gharama kiasi gani??
tuangalie zaid, mwanafunzi yyte hata kama ni muhandisi mwisho wa siku project yake inakuwa ni modelling??? sasa hizi modelling wanaziuza wapi??? who is using them?? je zingekuwa patented wangepata faraja kiasi gani kwa kuuza intellectual properties zao???
angalia watu ni wana sayansi wa IT pengine wanatengeneza programu zao JE ZINATUMIKA WAPI?? kwan lazima kila kitu tununue nje??? lets stop this and tuamke tutake kuwa na center for science and industrial research ili wanasayansi wetu wauzike jamani i think this is one way of creating income to our scientists.
Wana jamvi,
I was thinking that we real need to have center for new technologies or emerging technologies here in Tanzania. Nimejaribu kuangalia kwa nchi kama Kenya, Cameroon, Nigeria Ghana na nyinginezo za Afrika wanazo hizi center tena ambazo zinadevelop kwenye applied researches kuliko hapa kwetu ambako tafiti zetu nyingi ni promotional kind of research.
Aina ya centre, kwa mtazamo wangu nafikiri iwe ni center ambayo wanafunzi wa sayansi hasa wa levels za masters na PHD watakuwa sponsored kufanyia tafiti zao na kuwe na vifaa vizuri na vya kisasa na mwisho wa siku kila kazi ya kisayansi ituletee product sokoni kwa manufaa ya mwanafunzi mwenyewe na taifa lenyewe.
Mfano: Mwanafunzi wa physics anapoweza kutengeneza polymers kwa kutumia x-ray diffractions na polymer hii yaweza kutumika kwa matibabu so mwanafunzi ataweza kuipatent na kupata hela huku akisaidia taifa kwa usomi wake.
Naombeni mchango wenu, juu ya hili na pia kama mnaafiki basi tujadili tuanzie wapi manake watu wa ku-collaborate nao wapo na wanatamani ila kwa hapa kwetu sijui nianzie wapi.
Souns like a good idea to me...mada yako haipati wachangiaji wengi kwa sababu haijawekwa katika jukwaa husika. I will move it to jukwaa la Tech, Gadgets and Science.
i meant ku-characterize ila sasa sikujua kiswahili kizur hapo ni kipi.anyways wewe unafikiri tuanzie wapi???Hapo kwenye bold my dear we use X-ray diffraction for characterization of polymers not making them but all you have a wonderful idea.
sasa hapo ni jukumu la sisi kujadili kwa mapana zaid.Umeongea point mkuu hoja yako imezingatiwa. Ngoja tupate inputs za kutoka kwa wazoefu wa mambo kama haya.
Jee ungependekaza ikawa government based au private ownership??
i meant ku-characterize ila sasa sikujua kiswahili kizur hapo ni kipi.anyways wewe unafikiri tuanzie wapi???
It is a very good idea.
If we had big manufacturing industries.???
Tunakoelekea any country which will not embrace research yani kuendelea will be impossible!