Kama uko kilimanjaro nadhani kuna haja nkuconnect na jamaa yangu wa bamburi ila nimempigia naona not reachable ila waweza view iyo website yao itakusaidia ila ungekuwa mikoa ya kusini ungepata offer babu kubwa!
Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona ongezeko kubwa,akajbu ndio gharama za kiwanda zimepanda kisa mgao,jamani tuna serikali au hatuna?haya madhara ya propaganda zao wanayaona au hawaoni kwa kweli imeniuma kila kitu juu sa hivi,tunafaidika nini na hii serikali iliyopo madarakani sukari nanunua 2000 wakati serikali ilisema 1700 kisa viwandani,jamani tunaichukulia hatua gani hii serikali?
Na bado maana sasa hivi ni kipindi cha Uzalishaji viwandani, ikifika mwezi wanane sijuhi huwa wanafunga viwanda na bei huwa inapaaaaaaaaa!!!!