Celine Dion atimiza miaka 54

Celine Dion atimiza miaka 54

Ikaria

Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
93
Reaction score
238
Nyota wa 'bluez' kutokea nchini Canada Celine Dion leo anasherehekea kutimiza umri wa miaka 54. Nyota huyo alitamba na wimbo wa "My Heart will still go on"

1.jpg
 
Huyu mama amezeeka haraka sana ukimchukua yeye na Shania Twain (56years) bado Shania anaonekana msichana pia hata ukiwaangalia JL, na mariah carey ambao kawazidi mwaka mmoja bado wabichi kabisa ila happy birthday kwake nadhani kazeeshwa na mumewe
 
Hajazeeka ila kakomaa tuu
 
Ila wanasema kapigwa ugonjwa na wale wavaa suti wa akina Kanumba
 
Huyu mama amezeeka haraka sana ukimchukua yeye na Shania Twain (56years) bado Shania anaonekana msichana pia hata ukiwaangalia JL, na mariah carey ambao kawazidi mwaka mmoja bado wabichi kabisa ila happy birthday kwake nadhani kazeeshwa na mumewe
Naona hafanyi plastic surgery kama mastaa wenzake wa umri wake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom