Celine dion anaukosha mtima wangu yoo [emoji8]

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
huyu mkongwe mwenye sauti tamu na nyororo ningebahatika kuonana nae ningemwambie nyimbo zako zinaniliwaza sana atakama niachwa then ningeubusu mkono wake huyu celine namwelewa sana

Moja ya nyimbo zake zinazoish kwangu

my heart will go on
Power of love
New day
Am live
Mama

Kwakweli ananikosha mtima wangu yo

Nampa rate 10/10

Angalizo: usije mfananishe huyu mama na money heist
 
Huyu legend katika mziki sijawahi kumpata mtu wa ku-cover nafasi yake
 
Hii ndiyo muonekano wake wa sasa hujafa hujaumbika

images.jpeg
 
huyu mkongwe mwenye sauti tamu na nyororo ningebahatika kuonana nae ningemwambie nyimbo zako zinaniliwaza sana atakama niachwa then ningeubusu mkono wake huyu celine namwelewa sana

Moja ya nyimbo zake zinazoish kwangu

my heart will go on
Power of love
New day
Am live
Mama

Kwakweli ananikosha mtima wangu yo

Nampa rate 10/10

Angalizo: usije mfananishe huyu mama na money heist
Because you loved me,If walls could talk na Think twice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom