Celine dion anaukosha mtima wangu yoo [emoji8]

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
huyu mkongwe mwenye sauti tamu na nyororo ningebahatika kuonana nae ningemwambie nyimbo zako zinaniliwaza sana atakama niachwa [emoji28][emoji28] then ningeubusu mkono wake huyu celine namwelewa sana

Moja ya nyimbo zake zinazoish kwangu

my heart will go on [emoji8]
Power of love
New day
Am live
Mama

Kwakweli ananikosha mtima wangu yo

Nampa rate 10/10

Angalizo: usije mfananishe huyu mama na money heist [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu legend katika mziki sijawahi kumpata mtu wa ku-cover nafasi yake
 
Hii ndiyo muonekano wake wa sasa hujafa hujaumbika

images.jpeg
 
huyu mkongwe mwenye sauti tamu na nyororo ningebahatika kuonana nae ningemwambie nyimbo zako zinaniliwaza sana atakama niachwa [emoji28][emoji28] then ningeubusu mkono wake huyu celine namwelewa sana

Moja ya nyimbo zake zinazoish kwangu

my heart will go on [emoji8]
Power of love
New day
Am live
Mama

Kwakweli ananikosha mtima wangu yo

Nampa rate 10/10

Angalizo: usije mfananishe huyu mama na money heist [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Because you loved me,If walls could talk na Think twice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom