Ila kale kazee bwana kalichangamkia fursa mapema mno,ila bora bwana kamekufa kanapendwa na kuimbiwa sie wengine tunakufa tunang'ong'wa.Yeah alimpenda sana yule mzee...daah mapenzi ya Celine kiboko asee
bado anatukosha aliperform na my heart will go on uzee huo sikuamini bado anasauti tamu sanaNi mzee kwa sasa huyo mama
shishi food huyo sion kitu anaimba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msiwasahau na akina shishi na lulu diva bongo as you know uzalendo kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
adele hajafika labda witney houstonAdelle