Trouble shooter
Member
- Jan 18, 2014
- 79
- 12
Habari waungwana msaada juu ya colour code za conductors ktk ceiling fan nimekuta hili lina Green,Brown na Red je ipi ni phase kati ya Brown na Red nimeconfuse manual guide haipo course lilishafungwa sehemu, tueleweshane juu ya rangi hizi mbalimbali za fan na utambuaji wa phase naweka apa au lah