Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Cecilia naona hela inafanya kazi! Maana unajituma kuzipiga hizo kampeni kwa Samia. Au unautafuta uteuzi?
=================
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa wapiga kura kupiga kura kwa usahihi ili kuepuka kura zao kuharibika.
Ametoa wito huo Oktoba 21, 2025 akiwa jimbo la Momba mkoani Songwe kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa CCM Dkt Emmanuel Nchimbi.
Paresso amewasihi wananchi hao kupiga kura za ndiyo kwa Dkt Samia Suluhu Hassan kama mgombea Urais wa CCM pia kura ya mgombea Mwenza kwa Dkt. Nchimbi huku kura za wabunge na madiwani wakizipiga kwa wagombea wa CCM.