CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,910
- 43,271
CCM ina vijana wa ovyo sana
Mbya ziaid ccm wamesha mchukuwa na kumpa ajira na ataipigia ccm kuraNamkubali zaidi mvuvi Majaliwa kuliko UVCCM
Majaliwa ni Mzalendo
Kila jambo na wakati wakeMbya ziaid ccm wamesha mchukuwa na kumpa ajira na ataipigia ccm kura
Mtoa mada hajawahi kuandika Cha maana, kila siku ugoro tu.Nimewahi kusema hawa wanamama 19 ni wanamama wa shoka, Wana akili sana, ujasiri, hoja za nguvu ma sikuona ndani ya chadema mwenye uwezo wa kushindana nao popote pale.
Baada ya Nusrat Hanje kuwabwaga chadema, nilikua wengine ingekuwa ngumu kwao. Ila ndio hivyo tena sasa hivi chadema ni Kama mwembe wa uani, wanatingisha tu wanajiokotea dodo.
Cecilia Pareso ni mwanamama makini mno, amewabana na kuwachachafya chadema kila angle. Bado najiuliza mwanamama kama huyu bado wapo? Mama Samia ikikupendeza tunaomba huyu apate nafasi serikalini.
Kuwaacha nje ya serikali mwanamama kama huyu ni sawa kuikacha dhahabu. Anajiamini, mwerevu na mjenga hoja.
Mwenye background zaidi ya huyu mwanamama naiomba, nimevutiwa mno na akili alizonazo
sasa hapa kama ni mtihani ungepata ngapi?Nimewahi kusema hawa wanamama 19 ni wanamama wa shoka, Wana akili sana, ujasiri, hoja za nguvu ma sikuona ndani ya chadema mwenye uwezo wa kushindana nao popote pale.
Baada ya Nusrat Hanje kuwabwaga chadema, nilikua wengine ingekuwa ngumu kwao. Ila ndio hivyo tena sasa hivi chadema ni Kama mwembe wa uani, wanatingisha tu wanajiokotea dodo.
Cecilia Pareso ni mwanamama makini mno, amewabana na kuwachachafya chadema kila angle. Bado najiuliza mwanamama kama huyu bado wapo? Mama Samia ikikupendeza tunaomba huyu apate nafasi serikalini.
Kuwaacha nje ya serikali mwanamama kama huyu ni sawa kuikacha dhahabu. Anajiamini, mwerevu na mjenga hoja.
Mwenye background zaidi ya huyu mwanamama naiomba, nimevutiwa mno na akili alizonazo
Walikuwepo kina lizabon kina magonjwa mtambuka wengine wamesilimu tunao hapahapa jamvini kina stroke kina bia yetu kina kawe nawengine wengiii hata wewe utaachika bila shida Chadema digital IPO na itakuwepoKICHAA UMEFUFUKA TENA
Pamoja na ndugu zakeMbya ziaid ccm wamesha mchukuwa na kumpa ajira na ataipigia ccm kura
Mfia dini ushaanza ujinga, huenda hata hili jina Cecilia linakuchukizasasa hapa kama ni mtihani ungepata ngapi?
Nimejiunga Jf kabla yako, utakuja utaondoka utaniachaWalikuwepo kina lizabon kina magonjwa mtambuka wengine wamesilimu tunao hapahapa jamvini kina stroke kina bia yetu kina kawe nawengine wengiii hata wewe utaachika bila shida Chadema digital IPO na itakuwepo
Haunaga akiliKafanya nn huyo paresoo sijui pareyo
Jf tulikuwepo tutakuwepo mpaka muumba atuhitajiNimejiunga Jf kabla yako, utakuja utaondoka utaniacha
Nilidhani unaweka alichowabana, kumbe umeweka mawazo yako..!! Unaruhusiwa kikatibaNimewahi kusema hawa wanamama 19 ni wanamama wa shoka, Wana akili sana, ujasiri, hoja za nguvu ma sikuona ndani ya chadema mwenye uwezo wa kushindana nao popote pale.
Baada ya Nusrat Hanje kuwabwaga chadema, nilikua wengine ingekuwa ngumu kwao. Ila ndio hivyo tena sasa hivi chadema ni Kama mwembe wa uani, wanatingisha tu wanajiokotea dodo.
Cecilia Pareso ni mwanamama makini mno, amewabana na kuwachachafya chadema kila angle. Bado najiuliza mwanamama kama huyu bado wapo? Mama Samia ikikupendeza tunaomba huyu apate nafasi serikalini.
Kuwaacha nje ya serikali mwanamama kama huyu ni sawa kuikacha dhahabu. Anajiamini, mwerevu na mjenga hoja.
Mwenye background zaidi ya huyu mwanamama naiomba, nimevutiwa mno na akili alizonazo
mimi siyo mfia dini za wakoloni mkuu. naabudu mizimu ya babu zangu. kama nao ni ujinga sawa lakini haukuzidi huu ulioandika.Mfia dini ushaanza ujinga, huenda hata hili jina Cecilia linakuchukiza
Utumbo mtupuNimewahi kusema hawa wanamama 19 ni wanamama wa shoka, Wana akili sana, ujasiri, hoja za nguvu ma sikuona ndani ya chadema mwenye uwezo wa kushindana nao popote pale.