CECAFA ya Musonye

CECAFA ya Musonye

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,779
Hivi hawa viongozi wa CECAFA huwa wanaza nini? Yaani hawakujua mashindano ya AFCON yanafanyika lini hadi wakapanga klabu bingwa Afrika Mashariki kuendeshwa sambamba na AFCON ili hali nchi nne wanachama wake ni washiriki wake mwaka huu?
No wonder mashindano yao yanakosa msisimko. Usikute Musonye ni ndugu yake Bashite!
 
Back
Top Bottom