CECAFA na viwanja nchini Kenya.


Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
3,838
Likes
467
Points
180
Jacobus

Jacobus

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2011
3,838 467 180
Tokea bonanza hili la CECAFA kuanza bahati njema mechi takriban zote mpaka sasa nimeziona. Ukiacha mechi za ufunguzi zilizochezwa kwenye kiwanja kizuri, mechi zilizofuata zinachezwa katika ki/viwanja ambavyo havina tofauti na kiwanja cha Ali Hassan Mwinyi cha Tabora. Wenzetu Kenya wameona washangiliaji si wengi hivo mechi zimepangwa katika viwanja stahiki lakini sisi hapa mechi zote zingekuwa uwanja wa Taifa (mpya). Hili ni somo kwa TFF.
 

Forum statistics

Threads 1,250,688
Members 481,436
Posts 29,741,829