CECAFA LIVE; SOMALIA vs TANZANIA BARA

Chiya Chibi

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
484
110
Kwa sasa ni half time, kilimanjaro stars 5, Somalia 0. (Ngasa 3, Boco 2). Vijana wako vizur, inaonekana magoli yataongezeka kipind cha pili. Yap yap, ni kipind cha pili dk ya 58 magoli hayo hayo, Sub; Boco nje, Edw christropher ndan, Damayo nje, Chuji ndani. Somalia walishamaliza sub toka kipind cha kwanza. UPDATES, dk ya 82 somalia 0-7 Tanzania bara, yote ngasa, ana matano kwa leo
 
aiseeeeee babaangu 2mekutana na vibonde sana hao si mpira wa kuangalia huo
 
Ngasa yupo fiti na boko niliwaona mechi ya Burundi ingawa tulifungwa lkn walipiga mitandao ya panya km mara tatu hivi
 
Letelete lete Mkuu matokeo hayo usibanduke hapo ulipo,bahati mbaya sana leo siko hata kwenye TV kamanda wangu nimekosa uhondo jamaniiiii!!!!!!!!!!
 
Letelete lete Mkuu matokeo hayo usibanduke hapo ulipo,bahati mbaya sana leo siko hata kwenye TV kamanda wangu nimekosa uhondo jamaniiiii!!!!!!!!!!

Yap, dk ya 73, magoli hayo hayo, 2meshawakosa mara 3 magol ya wazj. Mchakamchaka unaendelea.
 
Safi sana Kilimanjaro andikeni historia, fanyeni kama Pamba ya Mwanza ilivoidungua timu flani ya shelisheli goli kumi na mbili hivi pale Kirumba miaka ya golden age of football katika tanzania

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Leo nimewashangaa sana hawa wasomali,pamoja na kufungwa wanacheza mpira wa kistaarabu bila hasira wala chuki kiasi kwamba haijatoka hata kadi moja.
 
dk ya 93 Mechi imeishia hapo, somalia 0-7 kilimanjaro stars, Ngasa amepewa mpira wake, jion njema
 
Kwa sasa ni half time, kilimanjaro stars 5, Somalia 0. (Ngasa 3, Boco 2). Vijana wako vizur, inaonekana magoli yataongezeka kipind cha pili. Yap yap, ni kipind cha pili dk ya 58 magoli hayo hayo, Sub; Boco nje, Edw christropher ndan, Damayo nje, Chuji ndani. Somalia walishamaliza sub toka kipind cha kwanza. UPDATES, dk ya 82 somalia 0-7 Tanzania bara, yote ngasa, ana matano kwa leo
Unaonaje ukiita TANGANYIKA? Huoni jina ni refu la Tanzania bara! (Watz wana kiswahili mureeeeeefuu.)
 
Back
Top Bottom