Ila kweli huyu Timbe ana kizizi na hili kombePole sana najua utalala mapema lakini utachelewa kupata usingizi,nilikwambia huyu Sam Timbe ana kizizi na hili kombe
Siku ile JK alikuwepo ndio maana Kaijage akawajibishwaWakati wimbo wa taifa ulipogoma kuimba walimuwajibisha msemaji wa TFF this time sijui watamuwajibisha nani
jk,rizr wote yanga na ccm yao na umeme umekatika vile vile . Tatizo ni nini hasa mtani?.Simba wana hasira.....Wamekata umeme(joke)
jk,riz1 wote yanga na ccm yao na umeme umekatika vile vile . Tatizo ni nini hasa mtani?.Simba wana hasira.....Wamekata umeme(joke)
Asante sana mkuu kwa kunijibu, aminia na kweli huyu kocha anaonekana ni mzoefu sana alafu yupo simple sana,naona kocha wa simba alijitayarisha kabisa na suti yake haha.....Alichukua akiwa na SC Villa na Polisi(za Uganda) pamoja na Atraco ya Rwanda na leo kachukua akiwa na Yanga
hahahhahahahahahahhahahahahahhahahahahahahahwamekalia kuti kavu na kujambia upupu au unga... Walijua simba kashinda dakika za mwisho wakakata umeme sasa sijui wamlaumu nani.Wanayanga msilaumu kukatika umeme uwanjani, Yanga ya CCM, Serikali ya CCM, hivyo ni nyie kwa nyie mlidhani pengine mpira haujaisha ili ikiwezekana muibe tu kombe kama mnavyoiba Kura kwenye uchaguzi.