CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

alafu ndio EAST AFRICA viongozi ukame wanaanza kelele za kutaka kusaidiwa wakati wanapeleka watu wao shopping Nje za nchi za Dola 50,000 watu wanaumia nan jaa sababu hakuna elimu za kuwasomesha na wao kujuwak ujisomesha na kujitizama. ili mazao wale wanufaike.
 
Jamani ingekuwa vizuri kiongozi wa nchi angekuwa hapo siku hiyo kama kajuwa vile dah.
 
Mnyama kapakatwa,hakika ni raha tele,wapi rev. Masanilo tushangilie ubingwa?
 
Yaani mfungwa anaweza kutoka kifungoni tena kwa msamaha wa rais akishafika nyumbani anapachika mimba moja kwa moja, si ndo haya ya leo! Yaani tulifungiwa, ile kufunguliwa tu mambo yenyewe yanatisha! Lakini tungeendelea na uongozi wa Madega tungeikimbia Simba leo. Yule jamaa hovyo kweli.
 
Kwenye nchi ya wajinga, umeme utakatika uwanja wa Taifa wakati mashindano ya kimataifa yanaendelea na bado hakuna atakaye wajibishwa kwa kosa kama hilo!
 
Kuna taarifa kwamba generator zipo uwanjani,ila hazikuwa na mafuta.....

What a shame....
 
Wana Simba, uko wapi uanamichezo wenu? Mbona mwakata umeme wakati wengine tunashereheke?
 
Hongereni watani na maprofessional wenu na sisi tutatafuta maprofessional wawili pale mbele ili twende sawa mechi zijazo.
 
Alichukua akiwa na SC Villa na Polisi(za Uganda) pamoja na Atraco ya Rwanda na leo kachukua akiwa na Yanga
Asante sana mkuu kwa kunijibu, aminia na kweli huyu kocha anaonekana ni mzoefu sana alafu yupo simple sana,naona kocha wa simba alijitayarisha kabisa na suti yake haha.....
 
Wanayanga msilaumu kukatika umeme uwanjani, Yanga ya CCM, Serikali ya CCM, hivyo ni nyie kwa nyie mlidhani pengine mpira haujaisha ili ikiwezekana muibe tu kombe kama mnavyoiba Kura kwenye uchaguzi.
 
Wanayanga msilaumu kukatika umeme uwanjani, Yanga ya CCM, Serikali ya CCM, hivyo ni nyie kwa nyie mlidhani pengine mpira haujaisha ili ikiwezekana muibe tu kombe kama mnavyoiba Kura kwenye uchaguzi.
hahahhahahahahahahhahahahahahhahahahahahahahwamekalia kuti kavu na kujambia upupu au unga... Walijua simba kashinda dakika za mwisho wakakata umeme sasa sijui wamlaumu nani.
 
Back
Top Bottom