Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Jamani mtanange wa Kili Stars na Burundu haujaanza?? Hebu tuhabarisheni kwa mlioko Bongo
Inaelekea kuwa hivyo maana sasa ni Burundi 2-1 Kili Stars mpira ni mapumziko