CDM pasua kichwa!!!,

Coza Mhando

Senior Member
Dec 14, 2010
194
7
Ni mtazamo tu,
mi ni 1 wa wale tulioona lile kongamano la kuhusu katiba yetu mpya.Nimesikia michango mingi tu ya wanazuoni,wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Nilichokigundua wanasiasa wanadhan ishu ya mchakato wa katiba ni mtaji wao tosha wa kisiasa!,
Nimeifuatilia ishu ya Arusha inavyochukuliwa kisiasa.
Ndugu zangu wana CDM tuwe waangalifu,tusikurupuke,tusikubali kutumiwa na kuwanufaisha wachache na mabwana zao waliowatuma.
Nasikitika kanisa nalo limeingia kichwakichwa.
Huyu mwingereza kazidiwa kete na mwamerika sasa alikuwa anaitafuta chance ameipata,
Ipo siku mtakuja kuikumbuka hii thread nyie "pasua kichwa" wanaCDM,
ni katiba inanilinda hapa kutoa mawazo yangu,
nawe endelea kutumia fulsa hii ya katiba kuleta critics zako!,
 
Coza Mhando
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-online.png

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Tue Dec 2010 Posts 101 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
 
ni mtazamo tu,
mi ni 1 wa wale tulioona lile kongamano la kuhusu katiba yetu mpya.nimesikia michango mingi tu ya wanazuoni,wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Nilichokigundua wanasiasa wanadhan ishu ya mchakato wa katiba ni mtaji wao tosha wa kisiasa!,
nimeifuatilia ishu ya arusha inavyochukuliwa kisiasa.
Ndugu zangu wana cdm tuwe waangalifu,tusikurupuke,tusikubali kutumiwa na kuwanufaisha wachache na mabwana zao waliowatuma.
Nasikitika kanisa nalo limeingia kichwakichwa.
Huyu mwingereza kazidiwa kete na mwamerika sasa alikuwa anaitafuta chance ameipata,
ipo siku mtakuja kuikumbuka hii thread nyie "pasua kichwa" wanacdm,
ni katiba inanilinda hapa kutoa mawazo yangu,
nawe endelea kutumia fulsa hii ya katiba kuleta critics zako!,

craaaaap
 
Ni mtazamo tu,
mi ni 1 wa wale tulioona lile kongamano la kuhusu katiba yetu mpya.Nimesikia michango mingi tu ya wanazuoni,wanasiasa na wananchi wa kawaida.
Nilichokigundua wanasiasa wanadhan ishu ya mchakato wa katiba ni mtaji wao tosha wa kisiasa!,
Nimeifuatilia ishu ya Arusha inavyochukuliwa kisiasa.
Ndugu zangu wana CDM tuwe waangalifu,tusikurupuke,tusikubali kutumiwa na kuwanufaisha wachache na mabwana zao waliowatuma.
Nasikitika kanisa nalo limeingia kichwakichwa.
Huyu mwingereza kazidiwa kete na mwamerika sasa alikuwa anaitafuta chance ameipata,
Ipo siku mtakuja kuikumbuka hii thread nyie "pasua kichwa" wanaCDM,
ni katiba inanilinda hapa kutoa mawazo yangu,
nawe endelea kutumia fulsa hii ya katiba kuleta critics zako!,
We mzima kweli au ndiyo mataputapu ya wikendi.
 
Inabidi JF mbadilishe vigezo vya kuwapa watu U-senior member humu ndani!
Hili ni jamvi huru lakini itasaidia sana kutambua uwezo wa mtu wa kuchanganua mambo.
 
Kuna siku niliandika kitu hapa naomba nikirudie tena; watu wengine wanaish tuu kwa sbb kuua ni illegal.......... Wee ndo pasua kichwa nambar 1 to hellll
 
Back
Top Bottom