CDM mnawasaidiaje hawa sasa ????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CDM mnawasaidiaje hawa sasa ?????

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by GeniusBrain, Jun 28, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimeshangazwa sana na CDM a.k.a MAGWANDA kwa kupalilia mkaa wa moto, na ukiisha waka wao wanakimbia bila ya kuuzima. Wao ndio waliowashawishi wanafunzi wa UDOM kugoma baada ya Lema kuwajaza ujinga. Sasa wanafunzi hao chuo chao kimefungwa na wameambiwa waondoke chuoni. Ni hali yakusikitisha wamezagaa tu huku mitaani na wengine wa kike wakijiuza ili wakidhi mahitaji yao. Sasa wana Magwanda mnawasaidiaje sasa hawa , nyie si ndio mliwajaza ujinga? Au mmeisha timiza lengo lenu la kijitafutia umaarufu wa kisiasa wao hamuwahitaji tena ?. Watafuteni muwasaidie sasa kama uwezo huo mnao
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Una uhakika gani ndo CDM ilisababisha mgomo,hivi kweli unaelewa matatizo yanayowakabili wanachuo,sababu za kugoma au au mnakuja tu namawazo na hoja nyepesi eti wapinzani hasa cdm ndo wanasababisha migomo!Njooooni na hoja yenye maana acheni hizi pumba hazina maana
   
 3. K

  Kitwanad Member

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hoja yako ni dhaifu.kwani migomo husababishwa na cdm? houni matatizo yanayowakumba wanafunzi wa vyuo? umesoma chuo kikuu wewe? hali kwa kweli ni mbaya. wanafunzi wanagoma ni kwa sababu ya matatizo yanayowakabili.lakini pia ahadi hewa wanazopewa na serikali ya ccm.mfano ni ahadi ya waziri mkuu Pinda mwanzoni mwa mwaka huu kuwa serikali itawapatia laptop wanafunzi wa udom.ccm hutenda baada ya wananchi kugoma.madenti wametambua hilo ndo maana wanafanya hivyo.siku nyingine ntakufundisha 'crisis management skills' ili utambue kuwa kufukuzwa kwa wanafunzi ni kawaida na pia hurudishwa na kuendelea na masomo.u must pay to make changes.dont be afraid.
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hujajibu hoja badala ya kuzunguka maneno mengi, ww waonyesha hata jinsi yakujibu hoja hujui, inabidi tukufundishe. Mie nimekuuliza ww mwana Magwanda unawasaidiaje hao ? wako huku mitaani wanateseka kwa ujinga wa Lema ambae alikuwa anaonekana kila siku pale Campus za UDOM usiku wa manane, waweza kusema alikuwa anafanya nn usiku pale ? jibu hoja acha bla bla
   
 5. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe Malaria Sugu

  alias Geneusbrain, Kweli akili za shule huna, hata za kuzaliwa nazo unakosa! Hivi wanachogomea wanafunzi wa UDOM, hali bora ya masomo, ni nani anayepaswa kuwapa kama si Serikali ya Magamba! Kwa Serikali ya Magamba kushindwa kutekeleza uongo wao waliouita Ilani ya Uchaguzi mpaka kupelekea Wanafunzi kugoma, ni nani aliyewashawishi wanafunzi wagome kama si Magamba! Wawape haki zao kama watagoma!
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na ww hujajibu hoja , jibu mnawasaidiaje nyie wana Magwanda? Lema alikuwa anaonekana kila siku usiku pale UDOM alikuwa anafuata nn ? vitu viko wazi nyie ndio mnawachochea , sasa mtawasaidiaje ? Jibu sasa
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Duh kweli wana Magwanda kama akili zenu wote ni hivi nchi hii imelaaniwa kwa kukosa wapinzani makini. Hujajibu hoja , unaruka ruka tu, nimekuuliza mtawasaidiaje sasa wako huku mtaani ? Lema kila siku usiku yuko UDOM alikuwa anafuata nn pale ? hivi vitu viko wazi , msiruke wenzenu wanateseka huku
   
 8. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Shit this is not kwa sabaabu ya CHADEMA uwe na akili ya kuchambua mambo bwana,migomo ilianza tangu enzi na enzi kabla ya chadema
   
 9. MANI

  MANI Platinum Member

  #9
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280
  Migomo haikuanza leo hata Sita wakati wa Nyerere waligoma chuo kikuu DSM sasa nao walishawishiwa na CDM?
   
 10. delabuta

  delabuta Senior Member

  #10
  Jun 28, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nyie magamba msituletee umbayuwayu wenu, tumeandamana kwa shida zetu tulizonazo na sio cdm kama mnavyofikiria, acheni umagamba tusidai pesa za kujikimu kisa cdm, hayo ni majibu mepesi tafadhalini muda wa majibu rahisi umekwisha.
   
 11. Mkiliman

  Mkiliman JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 957
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kweli @Geniusbrain..uko destructive sana,yaani njaa au shida za watu wakizidai kwa maandamano unasema ni CHADEMA wamechochea. Je umewahi kusoma chuo kikuu ktk mazingira ambayo vijana wetu leo wanasoma?, au unatoa hoja ili kutaka kuprovoke watu? pia unauliza kuwa "je waliochochea wanaUDOM kugoma wanawasaidiaje?" yr qn iko tata kwani there are many issues to digest, mf. unahakika gani hao unaodhani ni wachochezi ndio sahihi, au kuna tume inachunguza chanzo cha mgomo wa udom?
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jaribu kufikiria zaidi unachokisema na tatizo lenyewe,inaonekana umekurupuka tu,ulitakiwa ufanye utafiti yakinifu kabla ya kuja na jambo ambalo huna uhakika nalo!!
   
 13. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hao wanaojiuza dom we umewaona mtaa gani?
   
 14. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Kutafuta umaarufu wa kisiasa ndio nini hasa?
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kumbe ni huyu G - String
   
 16. Hmaster

  Hmaster JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe una akili kweli? Unadhani wanafunzi wa vyuo vikuu ni kama wale wa chekechea kwamba unaweza kuwadanganya kwa pipi? Hao wanafunzi hawakushawishiwa na CHADEMA ili wagome ila ahadi hewa za serikali ya magamba ndiyo zilizopelekea wao wenyewe wagome kwa kuishinikiza iwatekelezee ahadi zao. Vipi unauliza eti CDM mtawasaidiaje, sisi ndo wenye serikali? Bajeti ya matumizi ya serikali inapangwa na CDM? Usirudie tena kuuliza swali hilo la sivyo ntajua wazi kwamba wewe unawaza kwa kutumia makalio yako badala ya ubongo!
   
 17. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,999
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  raisi wako kasema ni vihereher vyao, kumbe wakiwa hapo chuoni wanapata hayo mahitaji yao kwa njia gani? wewe kweli ni jambazi
   
 18. s

  siwalaze Senior Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Crap crap crap crap crap crap crap!! Kama umelewa nenda kalale sio unazungumza ujinga hapa!!!
   
 19. s

  siwalaze Senior Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Unaonekana mwehu na hujitambui!! Kama nyie ni magamba ya kweli msilete hiyo fedha ya field hapa Observation Hill halafu uone timbwili lake!!Who is Lema kwa issue Practical Training??? Toa ujinga wako!!
   
Loading...