Kauli ya wapenzi na wakereketwa wa CDM kuwa Wao tu ndio wapinzani hai TZ, haiwezi kuwa halali ikiwa watashindwa kumuenzi mwananchi huyu kwa kuonyesha nguvu yao ya umma!:
Ajimwagia petroli na kujipua
Send to a friend Friday, 04 February 2011 21:16 0diggsdigg
Festo Polea
MKAZI mmoja wa Mbezi Juu, jijini Dar es Salaam, wamejiua kwa kujiteketeza kwa moto, kwa maelezo kuwa amechoshwa na maisha magumu yanayoambatana na kukabiliwa na mzigo mkubwa wa madeni.
Marehemu huyo, Yusuph Msema (40), ameacha waraka ambao ndani yake, amesema madeni yaliyokuwa yakimkabili ni pamoja na aliyokuwa akidaiwa na rafiki zake na ya benki moja ambayo hata hiyo, hakuitaja.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Charles Kenyela, alisema tukio hilo lilitokea juzi usiku huko Mbezi Juu.
Kenyela alisema kabla ya kujichoma moto, Msema alijimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujipulia kwa kutumia kibiriti.
Kamanda huyo alisema marehemu aliacha ujumbe wa maandishi uliosomekana kama ifuatavyo.
"Nimejiua kutokana na hali ngumu ya maisha na madeni ninayodaiwa na David Ligomile anayenidai Sh 700,000 na deni kuongezeka hadi kufikia Sh 1,3000,000 na kanichukulia RB."
Sehemu nyingine ya ujumbe huo ilisema "pia nadaiwa kodi ya nyumba na mwisho wa mkataba ilikuwa 31/01/2011 nilitakiwa nihame."
Kwa mujibu wa Kenyela, ujumbe huo umedai kuwa sababu nyingine ya Msema kuchukua uamuzi huo, ni kitendo cha ndugu zake kushindwa kumsaidia kumaliza matatizo hayo wakati wana uwezo.
Kamanda huyo alisema maiti huyo amehifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia cha Hospitali ya Mwananaymala, kwa uchunguzi zaidia
CDM mpo?????????