Cd ya ngono!

Tatizo lipo!!, Mtu unayetarajia kumuoa hata hujui anafanya biashara gani!!.
 
Haina ubaya kwani mitandao yote ukienda Worldsex.com utakuta picha hizo bila ya kizuizi sasa yeye alifikiri ni Bikra
 
hamna tatizo, mwenzio anasoma hapo mkiingia uwanjani ufaidi.

Ni kweli hakuna tatizo kwa upande wa shetani maana hayo mapicha yana lengo la kuharibu ufahamu wa mwanadamu, lakini kwa upande wa Mungu lipo tatizo kubwa sana. Kuna msemo unasema Kwa kutazama tunabadilishwa. Kwa hiyo kama ni mtu wa Mungu, elewa kwamba ukitazama hayo mapicha ya ngono unabadilishwa kiroho.
Yesu alikuja ili tuwe na uzima, kisha tuwe nao tele.
je wanandoa (halali kufanya hilo tendo) wakicheki video za X pia 'wanabadilishwa'?
 
Ee Mwenyezi Mungu nakushukuru sana kwamba nimezeeka na haya yanakuja umri ukiwa umepita.
 
Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume.
Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za ngono.
Katika kumhoji mpenzi akadai hapa town hiyo ni biashara huwa analetewa anazitoa copy kwaajili yakuuza yeye siyo mtizamaji wa picha hizo!
Great thinkers hili limekaaje?

usiwe unaleta maswali rahisi kama haya hapa...unatu under utilize kukupa majibu analytical kwa maswali ya kupeana majibu hata na wakata nyasi na garderners huko kwenu kama mnao
 
Kuna movie ipi siku hizi isiyokuwa na ngono? labda za under 16 na zenyewe hazikosi viashiria.
 
Hili lisiathiri uhusiano wao.................. Inawezekana ameamua kuolewa naye baada ya kuridhika na mapishi yake kunako faragha. Ambapo maujuzi mengine aliyapata kwenye CD hizo hizo!
 
Kweli mfumo dume still reigning. Kakuta cd, kakunja nne, kaangalia mwanzo mwisho. Halafu anahoji ya nini!! Nimeshidwa kuzi-connect hizo dots.
 
Hebu mwambie huyo jamaa anitolee kopi moja....

Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums
 
hamna tatizo, mwenzio anasoma hapo mkiingia uwanjani ufaidi.

je wanandoa (halali kufanya hilo tendo) wakicheki video za X pia 'wanabadilishwa'?

Nimeshasema, na ninarudia kusema, hakuna tatizo kwa shetani lakini kwa Mungu kuna tatizo. Hebu nikuulize, mwenyezi Mungu alipomuumba Adamu na kisha Hawa, je aliwaambia watazame mapicha ya ngono ili wafaidi tendo takatifu la ndoa? Je huoni kuwa mmoja kati ya wanandoa kama wanashiriki tendo kwa kupitia kuangalia picha za X anaweza asiridhishwe na perfomance ya mwenzake kulingana na alivyojifunza katika hizo picha na kupelekea kutafuta mtu wa kuzini naye?
Unigeuze macho yangu Ee Bwana nisitazame uovu.
 
staili moja kila wakati inaboa.
kama mwenzio ana perfomance ndogo unamwambia ili a-improve, huendi nje kutafuta mjuzi zaidi yake. pia huwezi kujua nani ni mtaalamu kitandani kwa kumtizama usoni itabidi ulale naye na kama ni hivi utalala na wangapi? kucheat kwa kusingizia po.rn ni utetezi dhaifu mno
 
Kama kweli ni rafiki yake na wanatarajia kuishi wote,mi naona kuna kutokuendana kimaadili. Unajua hapa duniani kuna watu wa kila aina,huyo binti angekuwa hazipendi hizo picha hata hiyo kazi asingefanya na ilibidi amuulize huyo rafiki yake kabla hajaanza. Ni vizuri pia mtu kuchagua rafiki ambaye wanaendana kimaadili, kwa mfano utakuta mtu amemependa bar maid halaf anaanza kumbadilisha kwa nguvu....ni ngumu sana...
 
Tatizo lipo!!, Mtu unayetarajia kumuoa hata hujui anafanya biashara gani!!.

Sasa wewe utamfuatilia mchumba wako katika kila dakika ya maisha yake? Lazima umwachie uhuru wa kutosha. Pale unapogundua tatizo ndio wakati wa kulishughulikia. Ungekuwa wewe ungeshinda siku nzima kila siku ofisini kwake ili kuchunguza anavyoendesha kazi zake? Naye ni mtu mzima ana uwezo wa kufikiri na kujua lililo + na - . Unapogundua jambo lisilokupendeza ni kuzungumza naye na kukubaliana nini kifanyike.
 
Back
Top Bottom