igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 956
- 1,502
- Thread starter
- #21
Ndio Yusuf bukombe.
Hahaha Shadow nimecheka
Hahaha Shadow nimecheka
Kuna camera iliyo-fail ! @ Shadow
Weka bei acha longo longo mkuuStructuralist. Upo sahihi lakini maelezo ni marefu kidogo ndio maana nimeomba uni-pm nikunyoshee maelezo km upo serious
Hii itapunguza hata kuulizwa maswali ya kujirudiarudia.Ingekuwa bora ukaweka vitu wazi hapa sote tukasoma na kuelemika. Mambo ya simu yatafuatwa kwa negotiations na installations. Lakini tupo wengi tunahitaji kufaidika kwa maelezo yako na bei.