CCTV CAMERA za kisasa wireless

Ni brand gani? Au hiyo CT-P721 ni jina lake? Ni mp ngapi? Luminous intensity(Lux) yake ni kiasi gani. Frequency range yake ni kiasi gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
internet access inatakiwa iwe kwenye simu ama kwenye hiyo Cam
 
Router ni nini?
Router ni kifaa kinachotafuta njia (route) ya kwenda kwenye internet. Ndo kifaa kinachokuunganisha kwenye internet. Chaweza kuwa PC ya kawaida yenye SW za routing au yaweza kuwa kifaa mahsusi chenye ukubwa unaotofautiana kulingana na mahitaji.
 
Bei ni reasonable, japo naiona changamoto ya kununua bando mara 2:
  1. Unanunua bando ya kuunganisha Kamera na Mtandao ili video ziweze kutumwa mtandaoni
  2. Unanunua bando la kutoa video mtandaoni na kuleta kwenye simu.
Jambo hili lazima wateja waeleweshwe vizuri maana lina gharama kubwa zinazojirudia. Wanaswa waeleweshwe kuwa atahitaji kutumia simu pale kunapokuwa na dharura au jambo la muhimu, la sivyo matukio yote yatahifadhiwa ktk memory,flash, etc. Jambo la msingi ni kwamba bando 2 zinahusika. Huwezi kuona kitu kwenye simu kama hakikutumwa kwanza mtandaoni. Na pia kukiona unahitaji mtandao. Ama sivyo ukitaka kutumia bado moja kwa kila kitu, basi usiende mbali na pale unaporekodi ili mtandao unaotumika kutuma utumike na kufungua.
 
Sema complete package ni Tshs ngapi ili uwezo kuona ktk monitor na simu maana hiyo Bei uliyotoa ni ya kamera kavu tu! Correct me if I'm wrong!

If you know your enemy than yourself you shall never suffer a defeat
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…