mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
Nauza CCtv camera aina ya Swan Original kutoka UK iko complete Camera 4, dvr recorder yenye 1GB, Dell screen na waya zake tayari kwa kufungwa, camera hii ni nzuri kwa usalama wa majumbani, maofisini n.k ukiifunga kwa kuingunisha kwenye internet unauwezo wa kuona matukio yote yanayoendelea sehemu ulipoifunga ukiwa nje ya tanzania, mikoani n.k kwa kutumia cm yako ya mkononi, laptop au desktop na pia inauwezo wa ku record na ku rewind, kwa mtu yoyote anayeitaji ani PM
Mimi ni mmiliki halali kama unaitaji fanya uje kuiona nina uhakika utaipenda na utanunua, kama kwa picha tu nitakupa link ya duka nililonunua uangalie vizuri zaidi.....
Nauza CCtv camera aina ya Swan Original kutoka UK iko complete Camera 4, dvr recorder yenye 1GB, Dell screen na waya zake tayari kwa kufungwa, camera hii ni nzuri kwa usalama wa majumbani, maofisini n.k ukiifunga kwa kuingunisha kwenye internet unauwezo wa kuona matukio yote yanayoendelea sehemu ulipoifunga ukiwa nje ya tanzania, mikoani n.k kwa kutumia cm yako ya mkononi, laptop au desktop na pia inauwezo wa ku record na ku rewind, kwa mtu yoyote anayeitaji ani PM
Mm naihitaji kwaajili ya video production za kama vile kipaimara, send off, misiba, nk.
aifai kwa mambo ya video productin yenyewe ni camera ya ulinzi wa kwenye majumba na sehemu za biashara, maofice n.k
aibu !!
Mm naihitaji kwaajili ya video production za kama vile kipaimara, send off, misiba, nk.
Mbona milion 20 bei kubwa sana,punguza kidogoCctv camera bado ipo wakuu.
Mbona milion 20 bei kubwa sana,punguza kidogo
Mama Kibunju Swahiba,
Sijaweka kwa ubaya Habibt.
Hembu tupe Bei wangu,usiwe na Jazba[/QUOTE
NIKAJUA HABIBT WATAKA KUNTILIA KITUMBUA CHANGU MCHANGA YAKHEE! BEI NI 850,000 MAONGEZI YAPO AU PIGA 0719-808849
Kama ni biashara kweli weka weka japo namba zako hapo. Business gani kama unauza madawa ya kulevya mkuu... funguka wwfanyie wepesi wateja wako....unahofu ya nini?