CCP Moshi na kashfa ya kupokea makuruta hewa 2012

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
1,767
Reaction score
1,526
Itakumbukwa kuwa CCP Moshi walipokea tuite makuruta ambao hawakustahili kupokelewa na matokeo yake wakarudishwa. Je hili kashfa iliishia wapi au ndio Bongo piga kelele baada ya siku tatu kimya. Katika nchi yoyote hili ilikuwa kashfa kubwa kiasi kwamba viongozi wa juu wa jeshi la Polisi walistahili kujiuzulu. Hivi katika Tanganyika ni swala gani/kashfa ambalo linatakiwa mhusika kuwajibishwa/kuwajibika.
 
Funika kombe mwanaharamu apite,huo uozo upo kuanzia ngazi za juu unategemea nini?
 
Hii habari sikuiona popote ila ndani ya Jamii Forums tu na wengi tulikanusha.
Inaelekea kila kitu kiandikwacho humu hata kwa Jokes kitaaminika.
Katika ile taarifa kulikuwa na mabasi ya Shabiby yaliyokodiwa kuwabeba kuruta toka Dodoma hadi CCP katika kuulizia hata wenye Mabasi ya Shabiby walikanusha kufanya biashara hiyo na km utapeli ni nani angekubali kumsamehe RPC au huyo Tapeli aliyewapakia vijana
Angalia Taarifa zote si za kweli ni za kujaza Thread
 
Na ile ya mke wa chagonj si kweli? Askari kupora mamilioni ya pesa kariakoo nayo vipi?jaribu kufikiri kidogo mama.
 
Hii habari sikuiona popote ila ndani ya Jamii Forums tu na wengi tulikanusha.
Inaelekea kila kitu kiandikwacho humu hata kwa Jokes kitaaminika.
Katika ile taarifa kulikuwa na mabasi ya Shabiby yaliyokodiwa kuwabeba kuruta toka Dodoma hadi CCP katika kuulizia hata wenye Mabasi ya Shabiby walikanusha kufanya biashara hiyo na km utapeli ni nani angekubali kumsamehe RPC au huyo Tapeli aliyewapakia vijana
Angalia Taarifa zote si za kweli ni za kujaza Thread

Kutokujua kwako uwepo wa jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo, laiti kama ungekutana personally na wahanga wa tukio lile badala ya ku judge taarifa za mtandaoni usingeandika ulichokiandika
 
Ccp nimefika juz kati dah ata aj kuruta waliopo cdhani kama wametimiza viwango,coz urefu hakuna ni kama mimi t,then kuna kuruta mmoja nilimwna nadhan ameenda kupunguza unene coz ni mnene hadi kupga hatua ni shda alieko ccp ataniambia hili,nlikuepo cku ile walipokua wanapima damu pale hospitalini kwao ha ha ha
 
Jamani, yeye kawaambia kuwa ameisoma JF tu, inamaana hana vyanzo vingine
vya kupatia habari, sasa ni jukumu lenu kumuelewesha...
 
Ccp nimefika juz kati dah ata aj kuruta waliopo cdhani kama wametimiza viwango,coz urefu hakuna ni kama mimi t,then kuna kuruta mmoja nilimwna nadhan ameenda kupunguza unene coz ni mnene hadi kupga hatua ni shda alieko ccp ataniambia hili,nlikuepo cku ile walipokua wanapima damu pale hospitalini kwao ha ha ha

Siku hizi hawaangalii tena urefu bali elimu ndiyo inayomata, jeshi la kutumia maguvu
limepitwa na wakati, siku hizi ni sayansi na teknolojia. halafu unapoandika kuhusu
masuala muhimu jaribu kuandika vizuri na kwa ufasaha kwa kuwa JF inasomwa na watu
makini, hapa siyo facebook ambako unaweza kuandika kihunihuni tu na watu wakakuelewa...
 
Kutokujua kwako uwepo wa jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo, laiti kama ungekutana personally na wahanga wa tukio lile badala ya ku judge taarifa za mtandaoni usingeandika ulichokiandika

Msemaji wa jeshi la police kanusha hii habari. haya yanayowahusu kukaa kimya ndo kunaponza chama chetu na serikali yetu ckivuu.
 
Itakumbukwa kuwa CCP Moshi walipokea tuite makuruta ambao hawakustahili kupokelewa na matokeo yake wakarudishwa. Je hili kashfa iliishia wapi au ndio Bongo piga kelele baada ya siku tatu kimya. Katika nchi yoyote hili ilikuwa kashfa kubwa kiasi kwamba viongozi wa juu wa jeshi la Polisi walistahili kujiuzulu. Hivi katika Tanganyika ni swala gani/kashfa ambalo linatakiwa mhusika kuwajibishwa/kuwajibika.
Nadhani adui mkubwa wa wa-TZ ukiachana na CCM, itakuwa ni Media - au kwa lugha yetu - vyombo vya habari;
Kwa mawazo yangu - kwa wenye hizo media houses, haitoshi tu ku-hightlight tatizo kama huwezi kulifuatilia hadi mwisho wake na ukapata suluhu. Esp magazeti wapo zaidi kwa ajili ya kuandika news ambazo ni hits na zitawasababishia kuuza magazeti hata wiki moja au mbili, na baada ya ile news kuzagaa mtaani wanatafuta hit nyingine and life goes on..
Nadhani wengi walipenda kujua mwisho wake lakini kwa sababu wanazozijua wa-media wetu, walikatisha picha na starring alikuwa keshatekwa hatujui iliishaje..
 
Hii habari sikuiona popote ila ndani ya Jamii Forums tu na wengi tulikanusha.
Inaelekea kila kitu kiandikwacho humu hata kwa Jokes kitaaminika.
Katika ile taarifa kulikuwa na mabasi ya Shabiby yaliyokodiwa kuwabeba kuruta toka Dodoma hadi CCP katika kuulizia hata wenye Mabasi ya Shabiby walikanusha kufanya biashara hiyo na km utapeli ni nani angekubali kumsamehe RPC au huyo Tapeli aliyewapakia vijana
Angalia Taarifa zote si za kweli ni za kujaza Thread

Hii habari iliandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na sio hapa JF tu.
Na pia hata mabasi ya Mbazi yaliwabeba hao makuruta na wengine waliachwa kwenye geti lao la kuingilia ccp baada ya ishu kubumburuka.
Hata hivyo yule mke wa kigogo aliyehusishwa na hiyo ishu alichukuliwa hatua gani? Lakini pia ilishawahi kuhusishwa na ile ishu ya kuwatapeli vijana wengine waliotaka kwenda depo la JW, Takukuru na TISS badala yake wakawatelekeza hotelini kule kunduchi.
Au ndio ule msemo wa kuwa acha tu ni upepo huo utapita!
 
Kutokujua kwako uwepo wa jambo haimaanishi kuwa jambo hilo halipo, laiti kama ungekutana personally na wahanga wa tukio lile badala ya ku judge taarifa za mtandaoni usingeandika ulichokiandika
halafu hata clouds fm lilijadiliwa sana sema hana kawaida ya kusoma magazeti na au kusikiliza redio,power breafast ilijadiliwa pia na hando kwa kina.
 
hapo ccp mbona kuna uoza mkubwa sana zaidi ya hao makuruta feki,IGP saidi mwema ana tenda ya kulisha mikate kila siku kutoka kwenye kiwanda chake pale mashenzini njoro, kwa wanoifahamu moshi vizuri njoro haina tofauti na mitaa ya kibera kule kenya.

Hivi sasa wanafunzi ambao hawana sifa bado wanaendelea kumiminika kwa wingi pale ccp kwa sababu ya askari waliojigeuza kuwa mawakala wanachukua fedha na kumpelekea mkuu wa chuo mbushi matanga ambaye ameunda mtandao mkubwa wa kuingiza wasio na sifa kila mtu aliyepo moshi anafahamu hilo.

Sasa nani atamfunga paka kengere?,kama IGP analisha mikate kila siku hapo na mbushi anapokea fedha za wanafunzi wasio kuwa na sifa,sasa hawa wote si wezi kama wezi wengine?,wataacha kulindana?

kwa anayebisha atafute askari wa jeshi la polisi pale moshi amwambie nina kijana wangu anataka kwenda CCP,vipi utaratibu ukoje?,atakujibu subiri kwanza nitakujulisha,baada ya muda mfupi atakuuliza unazo laki saba?,atakupa na mchanganuo wa hizo laki saba,ccp ya sasa ni bure tu hata ile ya kina changoja ni bure,maana hata wauza baada waliokuwa karibu na kija chagonja walikuwa wanaingia ccp kiulainiiiiiiii,na wapo mpaka leo wanazidi kupanda vyeo,
 
Rais wetu mpendwa katufundisha kuwa nothing is serious in Tanzania, ni upepo tu utapita

Back
Top Bottom