Elections 2010 CCM Zanzibar wataka Mbowe aombe radhi

wazenj wengi wanaenda zaidi madrasa kuliko madarasani..........inawezekana linalozungumzwa hapa ni madrasa...........
 
MBOE AOMBE RADHI
Mbowe inabidi aombe radhi kwani kwani kauli yake yeye kama mwenyekiti wa CHADEMA inaonyesha dhahiri kwamba alidhamiria kwani amezoea kutoa kauli za hovyo hovyo mara kwa mara.......katika hili aombe radhi ,kitendo cha kusema kwamba Rais mstaafu wa Zanzibar mh Idrisa Abdul Wakil kwamba ni darasa la saba, Marehemu katika uhai wake alisoma mpaka elimu ya juu Makerere university nchini Uganda,tena MBOWE ajue kwamba wakati huo ni watu wachache sanawalikuwa wanapata nafasi kusoma huko akiwemo Idrisa Abdul wakil...............,sina uhakika yeye mboye miaka hiyo alikuwa amezaliwa au anamiaka mingapi?

nampa mfano wa mtu mmoja ambaye anamuheshimu mzee huyo Idrisa abdul wakili naye si mwingine bali ni Prof ALLY MAZURUI wa kenya,mbowe usiwe unakurupuka japo UNAUPUNGUFU MKUBWA WA ELIMU,

MBOWE WEWE LINDA MASILAHI YAKO YA CHAMA CHAKO CHA KIKABILA NA UBABAISHAJI, lakini linapokuja suala la elimu za watu acha kabisa usikurupuke hata kidogo, jua tu na wewe ni moja wa mafisadi wa ELIMU kwani nafahamu kwamba hata DEGREE YAKO HUJAIMALIZA PALE HULL CITY UNIVERSITY,lONDON.

MBOWE UMECHOKOZA MOTO WACHA UKUUNGUZE,jua tunafahamu shule hujamaliza yaani you have not hold any degree from any university, may be u buy it to day,dat's why even CONSERVERTIVE PARTY ambacho kinaoongozwa na David Cameroon wamekukucha ujiulize why? simpe coz wamegundua wewe ni mbabaishaji watoto wa mjini wanasema mesheni town ama msanii

kitu kimoja mbowe ambacho hukijui is u as mbowe u have mis skills of knowing yourself of whom ur, where are come from? ur background, coz your family and clan history is more bad when it comes to matters of this country.

I'm GIVING FREE advise first to knowing and identify yourself,then from there u can get the point to start but for now no am sorry u have shown that your skills is weak.
 
WATU HAWA NI WAKURUPUKAJI HAWAFAI KUPEWA NCHI KUONGOZA WNAKITETE KABLA HAWAJAONGOZA JE WAKIPEWA NCHI WATANZANIA TUMEKWISHA TUTACHAPWA ATA VIBOKO:mad2:
 
WATU HAWA NI WAKURUPUKAJI HAWAFAI KUPEWA NCHI KUONGOZA WNAKITETE KABLA HAWAJAONGOZA JE WAKIPEWA NCHI WATANZANIA TUMEKWISHA TUTACHAPWA ATA VIBOKO:mad2:
 
Labda Mbowe alichanganya majina. Hivi Mzee Karume (RIP) alikuwa wa darasa la ngapi? Mbona naye alikuwa kiongozi mzuri tu aliyetuletea Muungano na kuwaletea wananchi wa Zanzibar maendeleo yaliyolenga watu kwa kuwajengea nyumba za kisasa? Wakati mwingine hicho kigezo cha elimu wala si hoja kwa sababu jitu linaweza kuwa na MaPhd kibao lakini lisiwe na busara wala uwezo wa kuongoza!

Kutokana na elimu ya mzee Karume ndio maana aliitumbukiza Zanzibar kwenye mmnyongano na sio muungano.... ila mzee Karume alikuwa ngangari kuna wakati fulani aliwahi kusema "muungano ni kama koti ukihisi linakubana unalivua"
 
wazenj wengi wanaenda zaidi madrasa kuliko madarasani..........inawezekana linalozungumzwa hapa ni madrasa...........

Hujui unachokizungumza wewe Wazanzibar ndio ma engineers wa mwanzo EA, Zanzibar ni ya awali kuwa na TV ya rangi barani Africa, Taa za barabarani na lift kwenye jengo la beit el jaib. Kuna watu waliosoma kiuhakika to mention then inahitaji muda ila kwa ufupi wapo kima sheikh ali muhsin al barwani, dr idris abdulwakil, dr salim ahmed salim, dr gharib bilal mtaalamu wa nyuklia, prof haroub othman ( Mungu amrehemu)

Note*

Ali muhsin Al barwan ni mtu ambae alipitia madrassa ki kweli kweli ali hitimu elimu yake ya quraan ndio akaenda kusoma shule ya kawaida ni hafidhul quraan na alifika mpaka makerere kama hujui bora unyamaze
 
hata mbowe akichapia unamtetea na kusema makosa ni ya wazanzibari!

kazi kweli kweli
 
hapana si kweli, alisoma makerere tena huko alikutana na akina nyerere na aboud jumbe mwinyi

ni kukurupuka tu, nadhani kwa kuwa alimuona marehemu alikuwa ni mtu mnyofu, asiependa makuu na mcha mungu, wakadhani watu wa aina ile hawana elimu

sasa ndio tujue kuwa chadema hakuna kitu wanamlaumu kikwete kuwa ni mtu wa kudanganywa na kama hili amelisikia kwa watu kadanganywa sana tena sana
Kwani nani kakwambia watu wa aina hiyi wanafikiriwa kuwa hawana elimu?(red)
 
Mgombea urais chadema kasomea degree ya kanuni za ......?mtaalamu wa...?

Makama wa rais darasa la saba?.....? mtaalamu wa...?

Hii combination ni feki sijawahi kuona katika karne hii ya 21...?

Natamani kutapika....

Pumba!
 
Mgombea urais chadema kasomea degree ya kanuni za ......?mtaalamu wa...?

Makama wa rais darasa la saba?.....? mtaalamu wa...?

Hii combination ni feki sijawahi kuona katika karne hii ya 21...?

Natamani kutapika....
Mataputapu
 
Mbowe ni muhuni tu kama wahuni wenzake wa Makao Makuu ya Chadema. Chama cha kihuni lazima kiwe na kauli za kihuni
Wahuni nyie wezi wakubwa siku zenu zinahesabika mtajua pa kwenda na mgojwa wenu we don't care.
 
Wahuni nyie wezi wakubwa siku zenu zinahesabika mtajua pa kwenda na mgonjwa wenu we don't care.
Wewe Quinine unafikiri unaweza kumtibu mgonjwa "wetu" wewe? Sie tumeamua kusimamisha kampeni kwa muda (kwani hujasikia hilo?) tayari kumpeleka Mlingotini kupata tiba kidogo na akirudi huko atakuwa fiti kusimama jukwaani hata saa 5 mfululizo bila kuanguka huku akitoa ahadi za kufa mtu. Ntatoa chandarua 2 kila nyumba, msaada wa mahari kwa kila anayetaka kuoa, watoto wanaosoma shule za msingi pamoja na kuwapatia laptop kila mmoja pia serikali itawanunulua kandambili maana wengine wako std 6 na hawajawahi kuvaa hata hizo ndala. nk nk nk. Teh tehe tehe.
 
Hivi huyo Mbowe mwenyewe ana elimu gani vile?

Wanaomjua Mbowe wanasema hivi..

Freeman Mbowe – failed in school, failed in business, failed in politics, and all this after being born in the royal family, the House of Mbowe..... In the current political state of play, he is irrelevant, and, as a HIPC (Heavily Indebted Party Chairman), he is finished as a politician.
 
Back
Top Bottom