ok Barubaru, Plan imekubalika serikali tatu kuna tatizo zaidi ya hapo maana tulisha enda mbele, kwa hiyo Jussa, Maalim Seif nk na muazilishi wake Jumbe hawana tatizo sasa including U na majority ya Wazanzibar?JokaKuu,
Kwa kuliona hilo ndio Znz wamekuja na PLAN B kwa maana kuwe na muungano wa mkataba ambao kila nchi itakuwa huru kufanya mambo yake isipokuwa kwa mambo muhimu mtakayo kubaliana. Kumbuka hiyo ni PLAN B baada ya kufeli ile iliyoasisiwa Znz na Jumbe.
Sasa kama PLAN A imepita kutakuwa na umuhimu gani kufikiria PLAN B. Tusiwalaumu akina Ahmed Rajab na Jussa wapo sahihi hao. Kinachotakiwa na Znz ni kuwa na Znz Huru na Tanganyika Huru na kama kutakuwepo na muungano uwepo na kama usipokuwepo basi Ahlan wa sahalan.
Kuhusu usemi wako kuhusu Gharama za Muungano kwa mtazamo wako wa Serikali 3 ni gharama Kubwa zaidi kuliko bilateral agreements. labda utupe UFAFANUZI WAKO HAPO. ili nasi tukutoa khofu kwa huo mtazamo.
Je una cha zaidi hapa?