Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,790
Kitendo chama cha CCM Kuanzisha taasisisi na kuzisajili kama vile Uamsho hautakuwa na mwisho mwema.
Leo hii katika ukumbi wa viwanja vya serikali vya kufurahisha watoto, kunafanyika kongamano la kuhamasisha watu waende kupiga kura ifikapo tarehe 20 March 2016. Walioandaa kongamano hilo ni taasisi mpya ilioanzishwa inaitwa Young pioneers Veterans. Kabla ASP haijaunganana TANU kikundi hiki cha Y oung pioneers kilikuwa ni vijana wa ASP na mimi nikiwa mmoja wao ambae nilijiunga 1968
Baada ya kuzaliwa CCM vijana hawa wa Young pioneers waliunganishwa na wenzao wa bara na kuanza kujuuulikana kama CHIPUKIZI mpaka leo hii.
Maudhui ya kongamano ni mazuri akini linafanywa " behind closed doors" kwa kuhudhuriwa na watu maalum wa chama kimoja wenye itikadi moja na kwa kadi maaalum. Hakuna mawazo mbadala yanayokaribishwa. Wanddaji wa kongamano kwa kuogopa kivuli chao wenyewe wachangiaje walitakiwa kuwasilimisha majina na mwenyekiti kwa kupata ushauri huchagua wa kuchangia.
Kongomano hilo liarushwana ZBC Redio na TV. kukosekana kwa mawazo mbadala kimepoteza maudhui ya kuhamasisha watu ( sio wa chama fulani) kwenda kupiga kura. Lakini kubwa taasisi hii haina uwezo wa kulipia gharama za kurusha matangazo hayo moja kwa moja.
Kuanzishwa tasisi sio mwanzo wa kuanzisha taasisi yenye sura kama hii ambayo italeta mtafaruku? Je wakaja watu wakaanzisha ASP Veterans hainokani kuwa tunataka kurudi kulekule. TUTAHADHARI MTI NA MACHO