Ccm zaivuruga ligi kuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm zaivuruga ligi kuu!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Njilembera, Sep 8, 2010.

 1. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,398
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Bila kujali utaifa wetu na hasa katika nyanja ambayo dunia nzima inatucheka kila siku kutokana na soka yetu kuwa hovyo, CCM kwa kuwa alihozi viwanja tulivyojenga sisi, anashindwa kufanya mikutano yake katika viwanja vya mikutano, na amesababisha uvurugaji wa ratiba ya ligi kuu. Hii ni sawa kweli

  Source: mwananchi, Kampeni CCM zaivuruga Ligi Kuu
   
Loading...