Kusema kweli sasa jf imepoteza mwelekeo.maana halisi ya gt imepotea .yaliyobaki ni majungu na upotoshaji wasomaji sina budi sasa kuachana nayo:spit::spit:
Chadema sera kubwa yenu iliyobaki ni uwongo, fitina na majungu jaribuni tena
Chama
Gongo la mboto DSM
Uongo ni upi?
Umetaja Gongo la Mboto nikakumbuka ndio makao makuu ya kikosi maalum, sikujua kama ndio mission yenu , nilifikiri ni maalum kupambana na majambazi (msangi type, inawa najua na yeye ni mmoja wa wana kikosi), kumbe ni kuua watu,seeee!
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
My dear English learner,
Did you ever hear that, some EPA accounts were opened on the 1st of May (public holiday 2005?) and some transactions were done on saturday and Sunday under the same govnt? Any comment my dear friend!
we subiri tu utakuja kuaminiMi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
'chama cha mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
KOMBAJR, hivi doctor Uli anaendeleaje mkuu? Kuna taarifa nimezisikia mtaani kuwa walitapeliana na wale jamaa waliompa kichapo!
Muslim brotherhood of Egypt are better than CCM
Kusema kweli sasa jf imepoteza mwelekeo.maana halisi ya gt imepotea .yaliyobaki ni majungu na upotoshaji wasomaji sina budi sasa kuachana nayo:spit::spit: