Kwanza ungejiuliza kwanini mnaitwa Wanyonge ktk nchi yenu? Unyonge wenu umeletwa na kusababishwa na nani?Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
Kumbe Like ni moja tu.Kwanza ungejiuliza kwanini mnaitwa Wanyonge ktk nchi yenu? Unyonge wenu umeletwa na kusababishwa na nani?
Ha ha kweli hayo ni Maelezo ya watu siyo yako umepatia vizuri kabsa, hakuna mtu anaipenda CCM bali CCM inalazimisha kupendwa miaka 50 hakuna maendeleo yeyote ni nani ataipenda CCM?Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
Kweni ilikuwa imechakaa??? au imefubaaa???Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
Mijitu ya CCM ni ya hovyohovyo tuKweli inang'ara hasa baada ya jembe hili kuunga juhudiView attachment 1243806
Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
Tanzania ni Nchi yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani lakini cha ajabu chini ya CCM imeendelea kuwa ni Taifa masikini hakuna mfano, CCM hawajaleta maendeleo yeyote na hawatarajii kuleta maendeleo zaidi, kama isingekuwa nini CCM kudumaza maendeleo leo hii Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa kwa kila kitu.Imeng'ara kwako au kwa wananchi? Nyuzi zingine bhana!
Katika pita pita yangu kwenye vijiji kadhaa na kwenye makazi ya watu nimesikia wanachi wakizunguza kuwa chama cha mapinduzi hakina mpinzani hata kwenye ngazi ya vijiji kwa kuwa wamepata kile wanachokihitaji, chama kinacho wasikiliza watu,kwasababu viongozi wamepewa maelekezo namna ya kuwasaidia wanyonge, kuwatetea wananchi pale wanaponyanyaswa na wenye nguvu ya pesa, hakika sasa wanadamu wote ni sawa mbele ya utawala huu wa awamu ya tano
CCM hoyeee,
Ni maelezo ya watu jamani, siyo yangu
Kweli inang'ara hasa baada ya jembe hili kuunga juhudiView attachment 1243806