CCM yazidi kujikaanga yenyewe

CCM yazidi kujikaanga yenyewe

Juwaine

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
624
Reaction score
170
Akihutubia mkutano wa (NEC) ya CCM Lowasa alinukuliwa akieleza hatua kwa hatua namna kampuni ya kitapeli ya Richmond ilivyopewa zabuni ya kufua umeme wa dharura nchi ni na kwamba Rais Kikwete anahusikamoja kwa moja kwenye mkataba huo.

Akiliambia kikao cha NEC mjini dodoma "Hakuna jambo nililolifanya ambao wewe Rais Kikwete hukulifahamu au hukunituma" kuhusu Richmond/Dowans. "Alisema mwenyekiti natukwanwa kwa ufisadi wa Richmond? Sasa kosa langu ni lipi?

Ni kule kukubali kuwajibika kwa ajili ya serikali yangu na chama chetu? Kwanini nihukumiwe kwa kisa hilo?" Huku akimtolea macho kikwete Lowassa alisema, "Unakumbuka vyema jinsi nilivyotaka kuvunja mkataba ule. Nilikupigia simu ukiwa nje ya nchi,lakini ulisema umepata ushauri wa kamati ya makatibu wakuu, ushauri ambao ulisababisha mkataba usivunjwe??"

Lowasa alisema Kikwete anafahamu kila kitu kwa kua ni yeye aliyeridhia kampuni ya Dowans Holding corporation SA, kupewa kazi hiyo baada ya Richmond kushindwa kuleta umeme. Katika muda wote ambao Lowassa alikua akizungumza ndani ya NEC Samwel Sitta alikua kimya kwa hofu kuwa Lowassa ataweza kumuumbua kwa kufichua zaidi yaliyofichwa juu ya alivyotumika kwa maslahi BINAFSI.

Mara kazaa Rais kikwete aliyekua akiendesha kikao hicho alimuangalia Sitta kama ishara ya kumzuia kuzungumza, jambo ambalo lilitibitisha maelezo ya Lowassa hausiki na sakata hilo.

Naye Mr Ben naye aliyekuapo mkutanoni humo alimshawishi Rais kikwete kutowapa nafasi watu wengine baada ya Lowassa kuzungumza. Kwa CCM nafikiri huu ungekua wakati muafaka wa kumwajibisha bwa ENL lakini mambo yamekua magumu kwao na kiutendaji wameshindwa kufanya hivyo japo walitumia juhudi kubwa kumchafua kupitia viongozi vibaraka wa ndani ya chama waliokua ndani ya payroll ya chama hicho.

Lakini mpango wa kuwatumia baazi ya kumchafua kati ya wajumbe 32 ni kuzidi kupoteza dira zaidi na zaidi licha ya chama kuonekana wazi kimepoteza muelekeo kwa kauli za kiuchochezi na za kufikirika za viongozi wao "tayar CCM imeshalikomboa taifa hili na kwamba wanaosema wanataka kulikomboa ni wapumbavu na malofa" japo mkapa na wenzake wanajua kuwa wanazungumzia ukombozi mpya,hawazungumzii BENDERA. Wanazungumzia Uhuru kamili wa kushika uchumi na utu wa MTANZANIA. Wanazidi kujikaanga kimipango na kwakauli zao wenyewe.

Rais kikwete alisikika akisema kwa kejeli mbele ya vyombo vya habari kua picha zinazomfata mafuriko Lowassa ni za kuunga ungu tu na wala sio halisi...akiwa wameshindwa kudhiirisha hilo japo kwa kutaja chango flani kinachohusishwa kwa kujiusisha na upotoshaji wa namna hiyo na kuthibitisha wanasimamia kucha.

Naomba niwasilishe karibuni wanjanvi tujadili.
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea
 
...nakumbuka richmond kikwete alijua au anajua.Kusema yeye hajui kitu ni sawa na hadithi za sungura.Anajua kuhusu UDA,anajua kuhusu mgodi wa kiwira,ANAJUA KUHUSU epa,ANAJUA KUHUSU ESCROW.
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

Kwa nini msubirie hadi hiyo Mahakama ya Magufuli, kwani mahakama za sasa hivi haziweki kumfunga. You are politically dead my friend, you can't even think critically!!??
 
Kwa nini msubirie hadi hiyo Mahakama ya Magufuli, kwani mahakama za sasa hivi haziweki kumfunga. You are politically dead my friend, you can't even think critically!!??

He cant even think hahaha what a shame hahaha duuuh
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

Bunge lilimwajibisha kwa ushahidi upi??
 
naona kila post lazima uipitie,kweli unalipwa kihalali,well is lunch time,kapate kitu kidogo uwahi ofcn

Mpaka jioni ya 25/10/2015 vidole vyake vitakuwa vimeota sugu na vigumu kama mpingo. Ajiandae kununua simu na computer kila wiki kwani screen za simu na keyboard zitakuwa zinatobokatoboka kishenzi. Labda aje kutumia dole gumba la ziada.
 
yan huyu dada luzabon anankera amesababsha mpk nkapgwa ban, yan lko km lizuzu lisiloelewa..
kwel hilo libwata alilolishwa na ccm yuko hell
 
yan huyu dada luzabon anankera amesababsha mpk nkapgwa ban, yan lko km lizuzu lisiloelewa..
kwel hilo libwata alilolishwa na ccm yuko hell
Huyu Lizaboni kweli kiboko. Mtu mmoja amewashinda eeh kwani mnalalamika balaa. Jamaa hata matusi hajali ye anapiga mzigo tu. Safi sana!
 
Ni chungu lakini ili upone inibidi unywe hii dawa.25/10/2015 Marofa wote na Wapumbavu twendeni tukamtoe bwanyenye kwa kutumia haki yetu ya kimsingi.

KURA YANGU NA YAKO NI UKOMBOZI KWA TAIFA LETU.
CHAGUA:EDWARD NGOYAI LOWASA
CHAGUA:JULIUS MTATIRO UBUNGE JIMBO LA SEGEREA.
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

Waza pia Lowasa akiwa rais mziki wake utaujua,hata hivyo haya mambo siku moja yatakuwa wazi na mkikataa kuachia dola mjipange kwende the Hegue
 
Lizaboni unamsemea mtu wakati yupo.Si umwache anayetajwa akanushe mbona yupo.Usishupaze shingo kwa hilo. yupo mwache asrmr mbele ya watanzania kwamba hajui hiyo mipango ya richmond.
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea
Wewe nyau tulia watu wakubwa wakiwa wanaongea.

swissme
 
Mkutano huo wa NEC ulifanyika lini? Acheni porojo. Bunge lilimwajibisha na Mahakama ya Magufuli itamfunga. Hana pa kutokea

kwenye suala la richmond lowasa aliwajibika ili kumlinda kikwete. na lowasa kashamtaja muhusika mkuu...
 
...nakumbuka richmond kikwete alijua au anajua.Kusema yeye hajui kitu ni sawa na hadithi za sungura.Anajua kuhusu UDA,anajua kuhusu mgodi wa kiwira,ANAJUA KUHUSU epa,ANAJUA KUHUSU ESCROW.

Anajua kuhusu magari ya mwendo kasi.
 
Back
Top Bottom