CCM yawatosa rasmi wasomi

CCM yawatosa rasmi wasomi

Joined
Mar 15, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Katika haili isiyo ya kawaida katika semina ya watendaji ndani ya chama hicho wakati wa maswali katibu mmoja alisema vijana wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali walioajiriwa na chama hicho wamekuwa wakiwatishia makatibu wao kutokana na elimu zao na hawakisaidii chama.

Katika majibu yake naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba akitoa takwimu ya makatibu wapya 26 walioajiriwa hivi karibuni kwamba kati ya hao wote mwenye digree ni mmoja tu na ukumbi mzima ukashangilia hata katibu wa mkoa huo comrade Ngubiagai aliponyoosha mkono apate nafasi ya kuchangia hakupewa nafasi mpaka kikao kinaisha.

Katika majumuisho ya katibu mkuu Kinana amesema wasomi hawafai kabisa. Cha kujiuliza ndugu Kinana baada ya kupata ukatibu mkuu leo amesahau umuhimu wa vijana wasomi ndani ya chama wakati alikuwa mlezi wa vyuo vikuu Dar.

Kweli CCM imefika mwisho.
 
Kwani ham kumbuka taarifa za kuwa wanaomuunfa mkono JK ni wakina nani? Ujinga ni mtajibiwa wa CCM
 
Time will teach the best and permanent lesson among them,if this is what the believe in!!!!!
 
Mbona hata kwenye Serikali yenyewe wamewalundika ngumbaru kila mahali na karibia wote wamechongewa Degree ili wasije kusumbuliwa na Vyombo vya Habari kwamba walikimbia umande.Utawagundua tu pale wanapofungua midomo yao wakiongelea masuala ya Kitaifa,"Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zimbabwe",Halafu Waziri wa Elimu huyo!Nchi hii mbona majangaaaaaa!!!??....Anaitwa Mulugo!!!
 
sio wasomi wajameni hata kusema ukweli ndani ya CCM ni kutafuta kupelekwa mgombani(kifo) ref HORACE KOLIMBA
 
sio wasomi wajameni hata kusema ukweli ndani ya CCM ni kutafuta kupelekwa mgombani(kifo) ref HORACE KOLIMBA[/QUOT

Kama ni msomi kubali kunyenyekea uingizwe kwenye mtandao.....vinginevyo ondoka fasta....
 
msomi huwa anasikiliza , asiye msomi anajiandaa kupayuka hasa kutaja neno chadema kwa kila hotuba yake ya kisiasa , hiyo ndiyo CCM , na baadaye huwa anaonekana mtu makini sana katika chama cha mapinduzi , wasira, nape ,mwigulu
 
Katika haili isiyo ya kawaida katika semina ya watendaji ndani ya chama hicho wakati wa maswali katibu mmoja alisema vijana wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali walioajiriwa na chama hicho wamekuwa wakiwatishia makatibu wao kutokana na elimu zao na hawakisaidii chama.

Katika majibu yake naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba akitoa takwimu ya makatibu wapya 26 walioajiriwa hivi karibuni kwamba kati ya hao wote mwenye digree ni mmoja tu na ukumbi mzima ukashangilia hata katibu wa mkoa huo comrade Ngubiagai aliponyoosha mkono apate nafasi ya kuchangia hakupewa nafasi mpaka kikao kinaisha.

Katika majumuisho ya katibu mkuu Kinana amesema wasomi hawafai kabisa. Cha kujiuliza ndugu Kinana baada ya kupata ukatibu mkuu leo amesahau umuhimu wa vijana wasomi ndani ya chama wakati alikuwa mlezi wa vyuo vikuu Dar.

Kweli CCM imefika mwisho.

Source ya hii taarifa ni wapi?
 
Nakumbuka kipindi cha kampeni mwaka 2010 JK alisisitiza kutazamwa upya wimbi la wanachama wapya wa CCM tena wasomi, manake walikuwa na wasiwasi wa kuwa huenda wakawa mamluki!!
 
Katika haili isiyo ya kawaida katika semina ya watendaji ndani ya chama hicho wakati wa maswali katibu mmoja alisema vijana wasomi kutoka vyuo vikuu mbalimbali walioajiriwa na chama hicho wamekuwa wakiwatishia makatibu wao kutokana na elimu zao na hawakisaidii chama.

Katika majibu yake naibu katibu mkuu Mwigulu Nchemba akitoa takwimu ya makatibu wapya 26 walioajiriwa hivi karibuni kwamba kati ya hao wote mwenye digree ni mmoja tu na ukumbi mzima ukashangilia hata katibu wa mkoa huo comrade Ngubiagai aliponyoosha mkono apate nafasi ya kuchangia hakupewa nafasi mpaka kikao kinaisha.

Katika majumuisho ya katibu mkuu Kinana amesema wasomi hawafai kabisa. Cha kujiuliza ndugu Kinana baada ya kupata ukatibu mkuu leo amesahau umuhimu wa vijana wasomi ndani ya chama wakati alikuwa mlezi wa vyuo vikuu Dar.

Kweli CCM imefika mwisho.

Kama ni msomi na unajitambua huwezi kuwa ccm. vinginevyo ukimkuta msomi ndo hao akina Prof majimarefu.
 
Hivi inakuaje mtu msomi na mwenye akili timamu anakuwa mwanachama wa CCM?

Haiwezekani!!! unaweza kuwa msomi na ukawa huna akili, mbona wengi wamesoma na hawana akili. Jiulize wangapi umesoma nao wamepata Degree na unawajua hawana akili, ndo hao wako ccm.
 
Hata kama ni bure au nini....siwezi nikawa nimepoteza miaka yangu shule nikaa nikawasikiliza wajinga kama kina nape na mwigulu...kwani kuna wasomi wanataka kwenda ccm?...wewe angalia vijana wao huku akina ritz ..ze makopolo...kama wana CP(cerebral pause)
 
Kama hii taharifa ni ya kweli, inajibu maswali ya watanzania wengi ni kwanini CCM haiwekezi kwenye elimu, ni kwanini serikali haijengi maabara, maktaba na kununua vifaa vya kufundishia.
 
Inataka kurudi kuongoza kwa staili ya akina Sozigwa ili wajiweke kwenye comfort zone.Kama Mungu amekukataa amekukataa tu hata iweje lazima uta kuwa destined kwenye failure.
 
Haiwezekani!!! unaweza kuwa msomi na ukawa huna akili, mbona wengi wamesoma na hawana akili. Jiulize wangapi umesoma nao wamepata Degree na unawajua hawana akili, ndo hao wako ccm.

I know exactly what you are trying to imply....I know many of you have been fed these wrong beliefs that Educated people hadn't contributed anything useful for the development of this Nation.I think the question you had to ask yourself is...Does the current system take the academicians/educated and experts' contribution into any account?Does our Country's current system give any attractive rewards to these segment of most important Tanzanians to the extent that it boosts their motivation and spirit and subsequently influence them to work harder?The answers are obviously NO!The current system does discourage them to love their professions and that's the reason why many Professionals are leaving their professions for the politics simply because politics pays more than what they get from their fields.
 
Ukitaka ucheke elimu za wabunge wa CCM fungua wavuti ya bunge,ujionee CV za wabunge wa CCM wengi wao ni form IV leavers na certificate holders.Wenye degree unahesabu.
 
Back
Top Bottom