GE2025 CCM yawatoa Waadzabe porini na kuwavalisha sare za Chama kwenye Mkutano Karatu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,410
Reaction score
4,988
Wananchi wa kabila la Wahadzabe, jamii ya asili yenye historia ya kipekee, wameonekana katika viwanja vya Madani wilayani Karatu mkoa wa Arusha wakiwa wamevalia sare za CCM na kuimba nyimbo za asili.

Hivi hawa, serikali ya CCM haijauza ardhi yao kweli kwa waarabu?

--

Sema CCM wakorogaji sana, kuwatoa Waadzabe porini na kuwavalisha sare za Chama kwenye mkutano uliofanyika Karatu ni kuwakosea waadzabe heshima na unyanyasaji wa tamaduni, pia CCM inavuruga haki za jamii kwa maslahi yao ya kisiasa.

Aidha, wanaweza kusababisha migogoro ya kijamii na kisiasa, pamoja na kupunguza umaarufu na hadhi ya waadzabe kwa kuwalazimisha kuwa upande wao.

Tuwaache Waadzabe na maisha yao ya asili, tuwape elimu ya mpiga kura ili Oktoba 29 watimize wajibu wao wa kikatiba.

Ndio maendeleo wanayotaka ?
 
Chaba alikuwepo?
 
HAkuna uchaguzi ambao ccm wataweka records kutumia pesa ndefu kwenye kampeni kama huu, ajabu ni kwamba hawana mshindani!!.
Tafsiri yake MAMA hauziki kwa raia hasa wa chini hivyo propaganda ni za kiwango cha 5g!!.
 
Chaba alikuwepo?
IMG_8497.jpeg
 
Yes, ila hao soon nadhan ile asili yao itatoweka.
Kuwatoa maporini ni muhimu nyie mnakula vizuri ila mnataka wenzenu waendelee kula nyani hapana sio kila cha CCM ni kibaya
 
Nyani ni nyama tena nzuri kwa ulimbukeni uliolishwa na ccm unaona unakula vizuri kwa hela za ulaghai, wizi, ufisadi nk kama mlivozoea
 
Ndio utajiri ambao tumeaminishwa tunao kupitia mfumo wa maisha wa wahadzabe
 
Back
Top Bottom