CCM yawaondolea uongozi wajumbe 11 kamati ya siasa kwa usaliti

talentizo

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
461
115
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewafukuza uongozi wajumbe 11 wa Kamati ya Siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Wilaya Singida Mjini, Hamisi Nguli, kwa tuhuma mbalimbali ikiwamo kukisaliti Chama wakati wa uchaguzi mkuu.
 

Attachments

  • 1455786063171.jpg
    1455786063171.jpg
    49.1 KB · Views: 51
Hao walio towa hayo maamuzi ya kuwafukuza wenzao wenyewe hawana makosa? Siyo lazima yafanane.
 
Back
Top Bottom