Ccm yauwa mtu kawe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yauwa mtu kawe.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sikonge, Oct 27, 2010.

 1. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kaazi kweli kweli. CCM wamekaa kimya?

  Sasa sijui vyama vingine huko Kawe waandike barua NEC kuwa CCM ni chama cha Vurugu na Kuuwa watu? Utashangaa NEC wamebugia maji mdomoni. CCM na POLISI yao watakaa kimya kama vile hakikutokea kitu.

  CCM mnatupeleka PABAYA. Damu kibao zimeshamwagika na zitaendelea kumwagika. Ileeni hii hali ila familia zenu pia zitaonja joto kama Moto ukiwaka.

  STOP THIS STUPID CIVIL WARS.

   
 2. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Si hata vyama vingine ndio viandike. Vipi huko kawe hakuna msimamizi wa uchaguzi? Au hawa wasimamizi wanapewa mafunzo tofauti? Msimamizi wa maswa fasta alikimbilia kuandika barua na kuituma kwa kina kiravu. Polisi kimya kama vile hakuna mauaji yametokea. Unafiki huu una mwisho tu.
   
 3. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  rest in peace...
  Yote yanaisha october
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,872
  Likes Received: 11,983
  Trophy Points: 280
  Makamba hajaenda huko
   
 5. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35


  akose tenaa??? Utamskia tu yeye au kinana
   
Loading...