CCM yaunga mkono Maridhiano ya kisiasa

CCM yaunga mkono Maridhiano ya kisiasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,306
Reaction score
271,599
Chama cha Mapinduzi (CCM) , kimetangaza kuunga Mkono Mazungumzo yanayoendelea kati ya Mwenyekiti wao na viongozi wa Chadema , yenye lengo la kuleta usawa wa KIDEMOKRASIA na HAKI , kwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA.

Kauli hii nzuri imetangazwa hadharani na Shaka Hamdu Shaka , ambaye ni Katibu wa Uenezi na Itikadi wa Chama hicho , alipoongea na Waandishi wa Habari .
 
Hili jambo ni jema kwa kweli sina tatizo hata kidogo tatizo ni utekelezaji wa hayo maridhiano kama CCM haitawageuka
 
Ni habari mbaya sana kwa wale MATAGA!
 
Isitokee pande moja kuvuruga mazungumzo kwa kutafuta kiki.

Maana vyama vya siasa bila kiki siku hizi haviendi
 
.. Hii style alikuwa anaitumia zaidi JK. Iko hivi wameona hakuna haja ya kuangaika na watu wasio na madhara,sana sana ni kuleta attention kwa wafadhili wazungu bila sababu ya msingi. Hii style ilitumika sana kipindi cha JK. Na watakaofaidi hayo mnayoyaita maridhiano ni Mbowe na waliomzunguka.. FULL STOP. Ila mwananchi wa Tandahimba na Nyangulukulu mfuasi wa CHADEMA hayatamuhusu hata kidogo. Ukitaka kuamini hilo,hata akina Mdee watakaa bungeni hadi 2025 na story ya katiba mpya ndo imefika mwisho. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ila mwisho wa movie watakaoathirika kisaikolojia ni wafuasi wa vyama wanaochukulia siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga.
 
This is your thinking, let wait and see!
 
Kauli hii nzuri imetangazwa hadharani na Shaka Hamdu Shaka , ambaye ni Katibu wa Uenezi na Itikadi wa Chama hicho , alipoongea na Waandishi wa Habari .
Mmmh!! Ukiacha mtazamo wa Chama na Mwenyekiti wake yeye kwa utashi wake ana mtazamo gani
 
2015, CCM waligeuka Mwafaka wao na CUF. Maalim alipomshinda Shein kwenye sanduku la kura, wakafuta matokeo ya uchaguzi. Huu mwafaka wa CHADEMA na CCM utakuwaje tofauti? Hili ni swali ambalo kila anayeifahamu CCM vizuri anajiuliza.
Hili jambo ni jema kwa kweli sina tatizo hata kidogo tatizo ni utekelezaji wa hayo maridhiano kama CCM haitawageuka
 
.. Hii style alikuwa anaitumia zaidi JK. Iko hivi wameona hakuna haja ya kuangaika na watu wasio na madhara,sana sana ni kuleta attention kwa wafadhili wazungu bila sababu ya msingi. Hii style ilitumika sana kipindi cha JK. Na watakaofaidi hayo mnayoyaita maridhiano ni Mbowe na waliomzunguka.. FULL STOP. Ila mwananchi wa Tandahimba na Nyangulukulu mfuasi wa CHADEMA hayatamuhusu hata kidogo. Ukitaka kuamini hilo,hata akina Mdee watakaa bungeni hadi 2025 na story ya katiba mpya ndo imefika mwisho. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ila mwisho wa movie watakaoathirika kisaikolojia ni wafuasi wa vyama wanaochukulia siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga.
Kinachowasumbua ni kuilinda legasi ya mfu yule!!
 
Chama cha Mapinduzi (CCM) , kimetangaza kuunga Mkono Mazungumzo yanayoendelea kati ya Mwenyekiti wao na viongozi wa Chadema , yenye lengo la kuleta usawa wa KIDEMOKRASIA na HAKI , kwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA.

Kauli hii nzuri imetangazwa hadharani na Shaka Hamdu Shaka , ambaye ni Katibu wa Uenezi na Itikadi wa Chama hicho , alipoongea na Waandishi wa Habari .
Kaongea lolote katika mabadiliko ya yatakayoongelewa kwenye kile kikosi kazi na malengo yake? Katiba Mpya ni lazima iwe baada ya 2025?

Vinginevyo, hiyo lugha ni kuwatia usingizi tu!
 
Back
Top Bottom